Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 744
- 660
dah huyu mama naye noma yani yy naye anapata watu wengi sana bila wasanii nahis hata mgombea mwenza wa sisiemu bila wasanii hamkuti kwa wingi wa watu
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu
Wamshauri huyo mgombea wao aoe kwanza ndo tumpe ikulu hatupeleki ikulu watu walioshindwa ndoa mama Regina ndo mpango mzima pipooooooooooz
Mgombea mwenza wa ccm anazunguka na wauza nyuchi tudah huyu mama naye yani yy naye anapata watu wengi sana bila wasanii nahis hata mgombea mwenza wa sisiemu bila wasanii hamkuti kwa wingi wa watu
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu
Mkuu unataka kutwambia anamzidi hata samia
Anamzidi kwa mbali sana Juma Duni Haji, ndo tujiulize KULIKONI?
Mkuu Ocampo four hilo suala la kalamu ni very serious nimelipata kutoka kwenye verified source aisee tuhamasishe watu shime wana mabadiliko make sure unaenda and kalamu yako
Mama huyu hakika ni mfano wa kuigwa