Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,683
- 272,541
Nimecheka almanusura kuchana mbavu !Wamama wa Ukawa wako katika hali ya uelewa mpaka unapata matumaini kuwa ni washauri wazuri katika familia zao;
View attachment 298528
View attachment 298529
Wakati huo huo upande wa pili wamama wa chama kongwe wameonyesha kuwa wao ni mahiri sana katika masuala ya mauno mauno na vituko vya ajabu visivyo staha kwenye familia;
View attachment 298532
View attachment 298533