Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
HAYA NI MADHARA YA KUZUNGUKWA NA WASANII(BONGO MUVI, KIKOSI CHA MATUSI, COMEDY NA BONGO FLEVA)KWA MUDA WOTE WA KAMPENI.
Punguza hasira angalia vizuri mleta mada ameleta picha ya mwezi Januari,kipindi hata fomu za kugombea zilikuwa hazijatolewa,tena Lowassa na Sumaye wakiwa bado makada wa CCM
Kwani Januari 4 alishateuliwa kuwa mgombea?!
Tunataka Rais Wa Kutatua Matatizo Ya Wananchi Hatutaki Rais Wa Kushinda Jikoni Kukaangiza Vinono Utadhani Bachelb.Na Hy Ni Kigezo Tosha Cha Kumnyima Kura.
Kupika Na Urais Kuna Uhusiano Gani?
We need change you MOFO..
CCM is still the same!
Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
HAYA NI MADHARA YA KUZUNGUKWA NA WASANII(BONGO MUVI, KIKOSI CHA MATUSI, COMEDY NA BONGO FLEVA)KWA MUDA WOTE WA KAMPENI.
Hivi Jumapili January 4 2015 Magufuli alikuwa tayari mgombea urais duh!huyu anaonyesha anajua maisha halisi ya watanzania sio yule anayeact kupanda daladala tena kwa kuanzia gongolamboto badala ya kuanzia masaki