kadiri siku zinavyokwenda nazidi kupoteza imani na maghufuli...kwa kweli munguaepushie mbali...
Magufuli jembe na mbunifu.
Hiyo ni namna alivyo karibu na wananchi.
Alikuwa wapi zamani?kumbuka ikulu sio sehemu ya kusonga ugali.
swissme
Mnaubaguzi sana Magamba,mbona Eco alivyopanda daladala mkasema sana,Misisiyem mnasena alikuwa field!!!
Huyo ndo mkemia?????anawekaje chakula cha moto kwenye plastic??wataalamu tusaidieni
Kupika Na Urais Kuna Uhusiano Gani?
Vilevle hatutaki rais wa kuzunguka hewani na chopa tunataka rais anaeshare machungu nasisi.Tunataka Rais Wa Kutatua Matatizo Ya Wananchi Hatutaki Rais Wa Kushinda Jikoni Kukaangiza Vinono Utadhani Bachelb.