Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali


Jumapili, January 4, 2015




Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.


Ha ha ha ha alietoa wazo la wagombea kupimwa afya zao namuunga mkono.
 
Hhhahahahaa watu wanavituko kesho yake watasema wanaleta kipindupindu wakati wao wenyewe waliungana kusonga na kupika kwa pamoja yale yale ya kupiga push up jukwaani njoo na sera watu wasikilize sera mwenzako aliwatembelea walisema anahatarisha maisha yake na ya watu wengine je yeye anafanyaje
 
kadiri siku zinavyokwenda nazidi kupoteza imani na maghufuli...kwa kweli munguaepushie mbali...
 

Jumapili, January 4, 2015




Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.



Hakuna migahawa ikulu, watanzania tunataka rais sio mama lishe
 
Huyo ndo mkemia?????anawekaje chakula cha moto kwenye plastic??wataalamu tusaidieni
 
Maigizo ya kipuuzi sana,,,mbona sijawahi kumuona akipika kwenye ile hoteli aliyomjengea hawara yake pale Mwenge
 
Na lowassa ajaribu kama hata,,,,,,,,,,,,,,,,,
hata kuushika tu hawezi bora magufuli anayeyajua matatzo ya watu

Kumbe matatizo ya watu ni kusonga ugali. Dooo, asante kwa kunifahamisha.
 
huezi kuwasidia wakati hujajua ni kwa namna gani wanateseka kama ni mateso,ndiyo maana anaungana nao then anawaandalia mazingira mazuri ya kupikia,fikiri kabla hujaandika na ndiyo maana ya kuwa field ayaone matatizo ya watu na awaombe wamchague ili ayatatue:A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:

Sijawahi kuona mgombea mjinga ka EL ambaye anawaombea vijana waendelee kuwa bodaboda, wamachinga, mama ntilie na baba ntilie maisha yao yote. Eti kama una pikipiki 1 uwe nazo 2, wamachinga wataruhusiwa kuweka vitu vyao barabarani bila kuguswa...hii itakuwa nchi au dampo lililojaa uchafu na vurugu tupu. Tafakari then chukua hatua.
 
dah kila nikimfikiria mbowe nakosa majibu yule dj ni mwanaume kweli na anajua sana kucheza na akili za walevi na wavuta bangi
 
Huyu ndo president tunayemtaka ,lowasa hata kujisaidia tu anahitaji support
 
Back
Top Bottom