»UNLABELLED » MAGUFULI LEO ATINGA JIKONI KUSONGA UGALI
[h=3]
[/h]Posted by mzee wa matukiodaima habari bila uoga at 23.9.15![]()
![]()
Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya leo kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali
![]()
Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
HAYA NI MADHARA YA KUZUNGUKWA NA WASANII(BONGO MUVI, KIKOSI CHA MATUSI, COMEDY NA BONGO FLEVA)KWA MUDA WOTE WA KAMPENI.
Kupika Na Urais Kuna Uhusiano Gani?
Alikuwa wapi zamani?kumbuka ikulu sio sehemu ya kusonga ugali.
swissme
Full comedian, na sisi mateja huku ili tumpe kura zetu aje ale unga pamoja nasi.
Ebu atoe hilo igizo lake, hii kuongozana na wasanii imemfanya kubuni maigizo tofauti tofauti. anafikiri atamhadaa nani? Mke wake mwenyewe amemsahau hadi akumbuki kumtambulisha unafikiri atawakumbuka wanawake wa TZ?
A vote is like a rifle: its usefulness depends upon the character of the user ,vote for magufuli for better development sustanability and well being of Tanzania people
Ikibidi sawasawaBado kuosha vyombo na kupiga deki.
Full comedian, na sisi mateja huku ili tumpe kura zetu aje ale unga pamoja nasi.