Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

Hii safi saaaaaaaana. Mwalimu anafundisha kwa vitendo sio maneno tu.
 
Yaani huyo Magufuli leo ,leo ,leo hii ndio anaenda kuangaika na Majungu ya ukoko,wa ugali ,aahaa kweli kiboko..nafasi yake angekuwa alishafanya hayo siku nyingi ,kwanini leo anautaka Uraisi ndio anaenda kukoroga Ugali..aoni aibu kwa kweli..ilikuwa tosha tuu angetaka kujua Magumu gani wanayapata hawa wamama ntilie,na jinsi ya kuwasaidi.kama angetaka kusonga ugali angempikia mkewe na familia yake tuu..sisi wananchi hatuitaji Raisi anayejua kusonga ugali na kupiga push up.tunataka rahisi atakaye tuwezesha kupata elimu bora,huduma bora za jamii,kama hospitalini,kilimo,barabara kwa kusafirisha mazao yetu..kweli CCM kwisha mwaka huu..
 
mbona hamueleweki.mlisema ni mkali mno afai kua rais saiz anachekacheka.mnataka nn?
 
Huyo mamvi wako mbona alienda tandale, na alipanda daladala, kwa nn asifanye hayo akiwa waziri mkuu? ikulu mtaisikia tuuu, subiri tar 25 ndio utajua kilichomtoa kanga manyoya
 
Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.

Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
HAYA NI MADHARA YA KUZUNGUKWA NA WASANII(BONGO MUVI, KIKOSI CHA MATUSI, COMEDY NA BONGO FLEVA)KWA MUDA WOTE WA KAMPENI.

Ndele likikubali basi mhanga huwa hajitambui. Lakini na ndele zote alizofundishwa na bwana mahaba, Roho Mtakatifu anaendelea kuzitibua akibadilisha uteka siku baada ya siku. Kwa wasiojua; ndele ni dawa ya mahaba wanayoitumia waganga ili mtu kuvutika kwa mtu mwingine bila utashi wake. inaweza kupulizwa hewani au kupakawa kwenye kitu chochote na mhanga akikumbana nacho ndo anakuwa ktkt mahaba mazito. hatambui wala hasikii. Hilo sisi wacha Yahu tunalishughulikia Ni uchawi m-baya sana. Haleluyahu
 
Jumapili, January 4, 2015

Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.

MPISHI MKUU WA CHAKULA CHA RAIS EDWARD NGOYAI LOWASA AKIWA KAZINi. Rais Lowasa Amemuahidi Kumwajili Kuwa Mpishi Wake Mkuu Pindi Lowasa Akifika Magogoni, Pia Amemuahidi Kumfanya Awe Mlinzi Wake. Hapo Akichukua Mazoezi Ya Kupika Chakula Cha Wageni Wengi Mf.Mabalozi
 
Yaani huyo Magufuli leo ,leo ,leo hii ndio anaenda kuangaika na Majungu ya ukoko,wa ugali ,aahaa kweli kiboko..nafasi yake angekuwa alishafanya hayo siku nyingi ,kwanini leo anautaka Uraisi ndio anaenda kukoroga Ugali..aoni aibu kwa kweli..ilikuwa tosha tuu angetaka kujua Magumu gani wanayapata hawa wamama ntilie,na jinsi ya kuwasaidi.kama angetaka kusonga ugali angempikia mkewe na familia yake tuu..sisi wananchi hatuitaji Raisi anayejua kusonga ugali na kupiga push up.tunataka rahisi atakaye tuwezesha kupata elimu bora,huduma bora za jamii,kama hospitalini,kilimo,barabara kwa kusafirisha mazao yetu..kweli CCM kwisha mwaka huu..

Punguza hasira angalia vizuri mleta mada ameleta picha ya mwezi Januari,kipindi hata fomu za kugombea zilikuwa hazijatolewa,tena Lowassa na Sumaye wakiwa bado makada wa CCM
 
Kati ya Lowassa na Magufuli msanii ni nani. Huyu anayepika ugali au ayelizuga kupanda daladala wakati vx8 lake lipo pembeni likimsubiri?
 
Huyu jamaa anavaa kuwa mpishi wa Ikulu pavel
 
Last edited by a moderator:

Jumapili, January 4, 2015

Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.

MPISHI MKUU WA RAIS E. N. LOWASA AKIJIANDAA KUSHIKA NAFASI YA UPISHI MKUU HAPO TAR 26 OCTOBA.Atakuwa Na Kazi Ya Kuwapikia Wageni Wa Ikulu Watakaokuwa Wanamtembelea Rais Lowasa, Pia Atakuwa Mlinzi Wa Ikulu. Tayari Alishaanza Kufanya Mazoezi Ya Kupiga Push Up.
 
Punguza hasira angalia vizuri mleta mada ameleta picha ya mwezi Januari,kipindi hata fomu za kugombea zilikuwa hazijatolewa,tena Lowassa na Sumaye wakiwa bado makada wa CCM

Duh kumbe jamaa alikua karibu na wananchi kabla hata ya lowassa basi kwahili umepata kura yangu

kweli "HAPA KAZI TU"
 
Jumapili, January 4, 2015

Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.

Mpishi Wa Ikulu Ya Rais Lowasa Akiwa Kazini Kuwapikia Mabalozi Waliofika Kujitambulisha Kwa Rais Lowasa.
 
Back
Top Bottom