Picha: Madenge, Pimbi, Komredi Kipepe

Picha: Madenge, Pimbi, Komredi Kipepe

pun'go nilkuwa namfananisha na anelka kw kwi kwi

Hata mimi mkuu, hebu cheki hapa chini

_73193859_nicolas_anelka_getty_2.jpg
 
naikumbuka bahati nasibu iliyochezeshwa na WAMASA dili ilichezwa na ndumilakuwili, pimbi na kipepe! yaani ilikuwa kaazi kwelkweli! kipepe alikaa ndani ya pipa la bahati nasibu!
ilikuwa raha sana!
 
Kulikuwa na story moja inaitwa wimbi la kitintale, ilikuwa balaa
 
Mchoraji mwingine maarufu aliitwa Marco ........
 
Sijazisahau story za John Kaduma ktk gazeti la Tabasamu kama Pablo Zungu, Bodigadi n.k.
Kwenye Sani kuna zoezi moja la Bush stars lilipigiwa majini, ili kuimarisha umahili wa chenga dimbani kocha alimwaga gunia la nyoka wengi weee! Hapo wachezaji walikuwa wameshakaa 3 days in water!
Zamani raaaha!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kutana na mzee meko, mayuku kubwa la maadui, bila kumsahau bob mazishi
 
hivi waliotoa story ua ufudu na panga la shaba, nao walikuwa ni akina sani
 
Basi nakumbuka kuna toleo moja lilitoka miaka ya 80's, Kifimbocheza Apambana na Wachafuzi wa Lugha, aliwavizia vijana kijiweni na kuwasikia wanaelezana stori kama hivi:

A: BASI JANA LILIANGUKA VALANGATI KIJIWENI USISIKIE

B: EHE LIKUWAJE

A: ILIKUWA HEAVY, NIKAKUTANA NA PANGASPY, AKAANZA KUPAKAZA,. KANITIA LOBA, ANASEMA ETI NIMEMCHEZA FIX!

Yaani we ndugu yangu acha kabisa enzi za F1-F4 nilikuwa sikosi toleo la SANI japo hela hata shs 10/= ilikuwa mgogoro kipidi hicho. By the way, Said Bawji yuko wapi sasa? WAMASA hii kampuni ado ipo au ilkufa? Namkumbuka sana na kati ya maachapiho yake niliyotokea kuyapenda sana utotoni ni Kitabu chake kilichokuwa na kichwa USIKU WA BALAA. Humo alikwemo Mzee Ole, Kibibi Gula na wengine siwakmbuki vizuri majina, yaani ilikuwa n balaa tupu![/QUO
 
Back
Top Bottom