SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Siku hizi gazeti la Sani limegeuka kuwa la udaku, pamoja na mambo mengine..kipindi hicho magazeti yalikuwa machache halafu mengi hayakuwa ya burudani, vilevile kulikuwa hakuna TV..hivyo basi burudani iliyobaki pekee ilikuwa ni ya gazeti la SANI acha kabisa