Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
- Thread starter
- #61
dah ukipata gundu la pimbi unaweza kujiua aisee.
Nimeona wiki iliyopita tu kwenye gazeti la Sani Pimbi kamtembelea mshikaji wake ulipofika mda wa kuoga Pimbi akapelekewa maji na shemeji yake alipofika bafuni wacha amvutie bafuni Shemeji baada ya mda mshikaji wake akashituka mbona wife harudi? ikabidi avizie kule bafuni kilichotokea hukoo!!! Labda tusubirie Part II