Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Acha kufungwa usiku,hata huduma za mchana ni sawa tu kama umefungwa.Hivi uwanja wa ndege wa arusha unafungwa usiku??
Hivi uwanja wa ndege wa arusha unafungwa usiku??
Hakupona mtu?
Mkuu asante kwa picha nilkuwa najiuliza namna ya kwenda kuchukua picha mnaana nilijua uko korogwe...
Pumzika Bob ila nkiangalia historia yako naona yote aachiwe Mungu tu!
Goodbye Maule......sikujua kama utaishia hivi.....you were scary tho.......
Sambeki was scary and good heated, mtoaji sana, mtundu sana na mcheshi.
Pumzika Bob, Sisi Nyuma Yako.
Pumzika Bob ila nkiangalia historia yako naona yote aachiwe Mungu tu!