nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
- Thread starter
- #81
Kwani unadhani hizo ndizo cleasing pekee zilizopo?Vipi political and regional?Unaujuaje wanyakyusa wanasemaje kuhusu mlolongo wa watu wao waliokumbwa na mengi?Unasemaji watu wakianza hunt down polisi?unasemajie watu wakiamua wahughulikiwa wanaCCM?Mbona ya Mfano wa Lema umeuruka?Nini kinakufanya uone kuwa issue ya ulimboka ni nyepesi?
Hizo zitajadilikwa kama zikienda OVER THE TRASH CANE as KUCHOMA MAKANISA right now ni DUKUDUKU