Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

Amen..tupo pamoja.watashindana nasi lakini hawatashinda! chezea mfumo kristo eeeh! usipime makali ya sime!
Kwa hali hii ss itafika point wakristo watachoshwa na matendo wanayofanyiwa na wenzetu waislam na hapo ndipo nchi itakapoingia kwenye machafuko. Kama ni dharau wenzetu wametudharau vya kutosha kiasi kwamba ss wanatuwekea vidole machone. Mm nashukuru serikali kwa hatua zinazoendelea kuchukuliwa ili kuepusha machafuko yanayoweza kujitokeza. Serikali inabidi ifanye kazi ya ziada kuwachukulia hatua hawa wenzetu kabla wakristo hawajachukua hatua wenyewe.
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona
Naamini sasa uislam hushughulika na mwili zaidi kuliko roho, pia humpendezesha binadamu zaidi kuliko Mungu alie muumba.
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona

Nadhani wewe ni mmoja ya hayawani
 
Tamko limetulia limejaa hekima na busara tele, huo ndiyo uzuri wa taasisi za kidini kuongozwa na viongozi wenye elimu ya dini na elimu dunia ya kutosha na siyo weredi katika ramli tu kupitia maandishi kutoka kulia kwenda kushoto.

Mwakidondo ndauli? Nene ndi Sekiligi!
 
Ulimsikia scholar gani alisema ukikojolea unakuwa mjus.

Au na wewe unataka kuleta za mtu akikojolea rosary ya msalaba anawaka moto?

Yani na wewe unaonyesha upunguwani ulionao! Chukueni kontena la 40 feet lililojaa biblia halafu gaweni kwa Waislamu wenye mabusha then wakojolee uone kama kuna mkristu atahangaika kuandamana. Zaidi zaidi utasikia wamepigwa radi wote na mabusha yao, unadhani Mungu wetu anapiganiwa? Huwa anajidhihirisha mwenyewe! Ushetani tu umewajaa, hovyo!
 
Naamini kabisa hujui historia ya tanzania, kwa nini usisikilize hutuba za Mchungaji Nyerere? anaeleza ni wakina nani freedom fighter hapa na waliochangia gharama ya uhuru wa TZ. tumeaachia nchi mnaifisadi kila kona bila huruma

Vijana wa KIislam kuanzia Madrasa mpaka majumbani mwao wanafundishwa kuheshimu Jesus/Issa, nitajie ni Muislam gani Tanzania amekojolea au Kuchoma Bibilia?? acha kuropokaropoka

Kwa hiyo waislam ndiyo walileta uhuru? Acha kuwa punguwani, walishindwa nini kuweka rais wao? Walishindwa nini kumuweka mzee Kawawa and the like? Unajua nyie mjitahidi kuficha ujinga mlionao! Hebu kabla ya kubwatuka uwe unafikiria kwanza mnatuchosha na ujinga wenu! Mbona kuna waislam hawana upunguwani wenu, jamaa nimekaa nao yani sijawahi hata kusikia wakiropoka ujinga zaidi leo unasikia kamaliza Masters Capetown, kaka kamaliza masters New York, wanakualika nawe unawaalika yani tunaishi nao bila ya kuona tofauti ya dini. Ila watu kama wewe ni tatizo kwenye jamii. Hebu badilika bana.
 
sisi maaskofu na viongozi wa makanisa ya kikristo kutoka cct, tec na pct baada ya kusikia na kuona katika vyombo vya habari juu ya uvamizi wa makanisa tumechukua fursa ya siku hii ya leo ili;-

1)kujionea wenyewe madhara yaliyotokea
2)kutoa pole kwa waumini wetu
3)kushiriki pamoja uchungu wa madhara yaliyotupata
4)kuwepo kwa pamoja namna ya kukabiliana na uvamizi huo

baada ya kutembelea maeneo yaliyovamiwa na kujionea uharibifu uliotokea
1)tumeona uchungu na masikitiko ya kwamba watanzania tumefikia kiwango hicho cha kumtendea jirani yake
2)tunatambua subira na uvumilivu mkubwa uliooneshwa na wakristo kuepusha majibizano ambayo yangeweza kuleta athari kubwa zaidi.
3)tumeziona juhudi za jeshi la polisi katika kudhibiti hali ya vurugu na kuepusha kupoteza uhai wa raia.

Katika wakati huu
1) tunawaalika wakristo wote kutolea sala na maombi kwa mungu aliye mlinzi wet,usalama na ulinzi wetu uko mikononi mwa mungu pekee.
2)tunatambua kuwa usalama wa wafuasi wa kikristo ni haki ya msingi kama raia wengine wowote, ni mategemeo yetu kwamba wakristo na nyumba zao za ibada vinastahili kuhakikishiwa usalama.

Tunapenda kuwaambia wakristo wenzetu kwamba kikao chetu cha leo kimetupa fursa ya kujionea wenyewe hali halisi ya uvamizi, kwasasa tunajiandaa kuchukua hatua muafaka. Tutawarudia hivi karibuni mbele ya vyombo husika yale yaliyo maamuzi yetu.
Kwa wakati huu tunawaomba muendelee kuwa wavumilivu na watulivu na muwe macho katika kulinda mali na nyumba zetu za ibada kwa kushirikiana na vyombo vya usalama.

Tunawapa pole wote na kuwatakia baraka za mungu.
hapo kazi ipo maana wengine wanaamin kuwa yesu ni mungu.
 
Nani kawafundisha tabia ya Kuchoma na kukojolea Qur'an, Yesu angekuwepo asingeridhika na uchokozi huu, msipofundishana tutawafundisha

Yani wewe unahisi kabisa kuwa sisi hatuwezi kushika jambia na sime kuwacharanga? Yani kabisa unadhani hatuwezi fujo? Ofcoz hatutaki kuwa mapunguwani kama wewe ila hakika nakuambia, kuchoma misikiti tunaweza tena wala usikae kujiaminisha kuwa hatuwezi.

Kukojolea quran ni mtoto mmoja sio wote na ni katika ubishani wa moja ya watoto wenu mnaowafundisha madrassat kuwa mtu akikojolea quran anakuwa kichaa, dogo wenu kajionea mwenyewe nani anakuwa kichaa! Nashangaa badala ya yule aliyekojolea kuwa kichaa then mwenye msahafu ndiyo kawa kichaa!!!!! Ha ha ha, bora nilizaliwa kwenye familia ya kikristu! Na sitahukumu mtu pindi atakapokojolea Bible maana Mungu wangu bwana wa majeshi ndiye atakayejidhihirisha!
 
Bora ENDELEENI KUKEMEA HAYO MAPEPO,
Yakapate kushindwa kwajina la aliye hai!
 
siku zote ukitawaliwa na hekima na busara utafanikiwa tuu,kuliko kutumia jazba na nguvu.maneno na maafikiano yaliyofikiwa ni mwongozo wa roho mtakatifu. Basi tukiwa kama kanisa tumuombe Mungu atupe hekima siku zote,na tuwaombee ndugu zetu wanaovuruga amani tuliyo pewa na bwana.
 
Endelea amini,kwani umeanza leo kuamini ndoto za alinacha na impossibilitieas.Ninachofahamu Nyerere (usiyemjua angeweza kuwa padri kuliko mchungaji km ingewezekama) alikabiliana na hawa watu kwa vurugu hizihizi ambazo zilikuwa vikwazo sana kuzuia uhuru.Tofauti na leo kuna mabomu,Nyerere alitumia sana weledi wa ushawishi ili aende nao hivyo hivyo.Ndio maana hadi leo hawajielewi ni vipi alikuja dar wakamkaribisha(ingawa walifukuza wengi tuu kwa sifa zao za kujua historia ya madafu, bahari na ujinga mwingine wa kutaka shawishi watu kuwa kujua historia ya magengeni ndio kujua mengi), akacheza nao bao,akafunga na kufungua nao, akaweza chinda mioyoyo na kuweza wakwepesha wasiingie ktk migogoro bila wao kujua ili mambo yaende mbele.Sasa hat adreva taxi aliewahi mbeba Nyerere anadai anajua historia ya uhuru na alipigania uhuru.Wakati hakujua hata mipango ya Nyerere.

Mimi wala sishangai anayofanya Zitto na kadiri muda unaenda atadai kuwa mwanzilishi wa CDM na aliyefikisha CDM hapo.Nyerere was a Master Planner.hakuna waislam waliopanga misikitini kwenda mpinga walitoka katik mkutano wake bila kujiona wajinga kwa miaka yote.Utashangaa sana Jussa alivyozimika ndio anajipanga tena kuja umbuka kirahisi.Wewe una akili timamu kweli?lini wavuvi wa samaki wakula tuu, wacheza bao, katika mji ambao hata ajira hazikuwepo kihivyo za kuweza hata leta wapangaji ktk nyumba za nyasi mji mzima,watu waliokuwa wakinunua mabusha ,watu wanaogombania viingilio vya simba na yanga wangepata wapi hela za kuchangia uhuru?Acheni mizaha wengi walikuja pata rewards tuu kwa baba zao kuwa viongozi wa kiislam waliotumika kuzima uasi wa kiislam usiokwisha ila kabla ya uhuru walikuwa vibaraka tuu.Zipo familia za mikoani zilizokuwa zinajua hela na zilizotengeneza hela sana,hawa waliwekeza hadi dar es salaam,hawa ndio walikuwa na nia za kweli jenga TANU na kujenga nchi.

Sasa kama Biblia yenye Injili ya Yesu hamuiheshimu , "wamwaminie humfuata" kasome vyema mafundisho yake.Sasa nachokifanya ni kama kusema mnaheshimu toile paper.kwani zile aya chache katika Quran zinaongelea mema machache sana ,halafu na mengi yanayomdhoofisha sana na kumweka ktk level ambayo hata gaddafi aliweza sema wangukuwa hai mitume,Yesu angekuwa mfuasi wa Muhamad.Mnavyoto akauli kaa vile mmempa upemdeleo sana kumtaja.Ila kiukweli mmekuwa chukizo na kufuru, na meonyesha msivyojua.

Kwa kipindi kifupi waingiacho viongozi waislam hurudisha nyuma nchi kwa umbali ambao Nyerere hakufanya miaka 20+ ya utawala wa Nyerere.Mfano ni Mkapa tuu,pamoja na udhaifu wake aliweza acha hela hazina,huku madeni yakiwa kazibu zero,Kikwete kamaliza hadi NSSF, na alipoziona tuu hela hazina kaanza zitumbua, sasa hata yale mabilioni yake kayafisadi.

Dah! Bob nimekukubali, bonge la analysis, kama kuna mbishani zaidi aseme.
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona

I tell you there is a day when christian tolerance will come to an end, and that is when you will know who are they? tena unasema mtaendelea kukiona cha mtema kuni, unaonyesha dhahili kuwa u mwanachama wa wahalifu eti.
 
naona sasa uvumilivu unaelekea kufika mwisho... EEH mola tuepushie hili linalotaka kutokea
 
Mtoto akinyea mkoo utaukata? Huwezi, Sisi sote ni Watanzania, tena Tumeoleana Mkiristo kabadili dini kamuoa Musilamu, vilevile wapo Waislamu wamebadili dini wameoa wakristo, sasa haipendezi tufikie hatua ya watu kushindwa kuwa kitu kimoja wakati sisi ni Watanzania, TUTETEE UTAIFA WETU , NAOMBA WALE WAKEREKETWA WA DINI MUONDOE JAZBA, ZISIZO NA MSINGI, MAZUNGUMZO NI BORA ZAIDI, AMANI IKIVUNJIKA NI KAZI MNO KUIRUDISHA. Mungu ibariki Tanzania
 
Na ndipi tunaposhangaa kuwa kuna wengine wanaamini Mohammad (Mohd) ni mtume!!!!!

Mkuu! muhammad ni mtume wala sina shaka! hakika yangu ni kwamba hakutumwa na MMungu! Hadi natoa changamoto; "MMungu alisahau nini hadi amtume muham mad?"
 
Back
Top Bottom