Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
Pongezi nyingi sana Mheshimiwa Regia.
Tunafarijika sana kupata maendeleo ya zoezi hili muhimu!
Itafurahisha zaidi kama utatutumia picha kama mlivyofanya Mwanza .
Nasikitika sijaona picha za gEITA na sehemu zingine mlizopita jana!
Shukrani PJ.
Unajua unapokuwa mshiriki siorahisi kupata picha nzuri.Ninazo picha kwenye simu yangu lakini hazina ubora wa kurusha hapa.Tupo na waandishi wa habari na wadau wengine naamini watazirusha kama walivyofanya.
Tupo pamoja.
Hongera Regia, ila hakikisha hao waandishi sio wale waliokutana na Ali Hadaiwi nasikia walilazimishwa kuvua kila walichonacho ili wasipige picha na wao wakaridhia.Shukrani PJ.
Unajua unapokuwa mshiriki siorahisi kupata picha nzuri.Ninazo picha kwenye simu yangu lakini hazina ubora wa kurusha hapa.Tupo na waandishi wa habari na wadau wengine naamini watazirusha kama walivyofanya.
Tupo pamoja.
Ma pro-Gadaffi na Kikwete msiwajibu naomba mniachie hiyo kazi.Nawaomba wana jamvi, watakapo ingia wale ndugu zetu wa mlengo wa kushoto tusipoteze muda kujibisha nao...Asanteni