Child exploitation is the act of using a minor child for profit, labor, sexual gratification, or some other personal or financial advantage. Child exploitation often results in cruel or harmful treatment of the child, as the activities he or she may be forced to take part in can cause emotional, physical, and social problems. To explore this concept, consider the following child exploitation definition.
Definition of Child Exploitation
Noun
1.Using a minor child for profit, power, status, sexual gratification, or some other purpose
Wewe mtu mzima hovyo sana na kama ni kweli wewe ni mama mwenye watoto basi hao viumbe watakuwa wamelelwa kwenye mazingira ya ajabu sana.
Linapokuja swala la siasa unawehuka kichwa na kupoteza uthamani na utu wako, umeweka hiyo picha ulipata wapi ruhusa au dhamana ya kutumia picha ya "MALAIKA" aisyejua siasa maana yake nini?
Nimekudharau sana tena ukizingatia ni mwanamke ulitakiwa uwe mstari wa mbele kulinda na kutete haki za watoto na mbaya zaidi kwa makusudi umejitoa ufahamu kwenye swala sensitive kama hili.
Najielewa na najua nini nachoongea na wala hata siku moja siasa haitanifanya nipoteze msimamo na utu wangu kwa watoto wadogo ambao hawajui hata siasa maana yake nini?
Ningeongea mengi ambayo yangekukwaza kwa sasa naona niachie hapo sababu nasisitiza nimekudharau sana hasa kwenye swala kama hili....