Hivi kuumwa kunamfanya mtu ashindwe kuongoza? Mbona rais Kikwete alianguka mara nyingi na kufanyiwa opetation kubwa. Unataka kusema nchi imemshinda?
Chunga mdomo wako
Hivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Hivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Aliyeleta mada amekwambia alienda kaninsani. Hajasema kilichoongelewa chochote. Sasa wewe ona uliyoyaongezea, watu kama nyie ndo mnapewaga ujauzito bila kutarajia sababu ya kiherehere............cha ajabu.