Picha: Lowassa Kanisani Leo

wewe acha mm siku nilipoongea nae kwenye sim kwa mara ya kwanza ilikuwa 2013 yaani nilifurahi sana anaongea vizuri. Kesho nakamata fursa lazima nimshike mkono. Leo jion ntamtext

Mimi pia nina namba zake,hebu nicheki PM basi mumy.
 
Wanamwombea sana mabaya, wamemtangaza mgonjwa, wametamani afe lakini kukicha anazidi kuimarika, wanapodhani atakuwa amelala kitandani Mwenyezi Mungu anamwibua akiwa shupavu, jasiri, mwenye bashasha na tabasamu lenye kuwajenga na kuwapa watu matumaini. Hili linawauma sana sana....... WAMECHELEWA.

We utakua sio mzima.... Kwaiyo ulitaka alale au.... Kipi kimeongelewa cha udini apo..... Ivi ivi unakua mjinga mjinga kutetea upuuzi... Lione
 
Hivi ni lini mimi nifah nitapata bahati ya kushikwa mkono na rais wangu kipenzi Lowassa?
Nimewaonea wivu sana hao watoto!

Unataka umshike mkono mr President? Iyo ni bahati!
 
Last edited by a moderator:
Hao watoto hawajui dili za kutoa wabaya wao jela.nisiseme sana
 
Mkiniwekea Picha Magufuli kama amewahi kwenda kanisan nampa kura yangu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…