Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 860
[h=2]LOWASSA ATUA NGURUKA NA KUMNADI KAFULILA, POLISI YAONYESHA WELEDI KATIKA KAZI[/h]
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitiaCHADEMA, akiwakiliosha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akipokea saluti kutoka kwa Askari Polisi, wakati alipowasili kwa Helkopta, kwenye Uwanja mdogo wa ndege Nguruka Kati, Jimbo la Kigoma Kusini, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015 ambapo pia alitumia fursa hiyo, kumnadi mgombea wa jimbo hilo kupitia NCCR-Mageuzi, akiwakilisha UKAWA, Mh. David Kafulila
Mh. Lowassa, akisalimiaana na mamia ya wakazi wa mji wa Nguruka waliohudhuria mkutano wake wa kampeni
Wananchi wakionyesha alama inayotumiwa na UKAWA hivi sa sa ya "Mabadiliko" wakati wa mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea wake Mh. Edward Lowassa, na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe huko Nguruka
Kijana akiwa na bango lenye ujumbe. (Picha zote na Othman Michuzi)
Source: LOWASSA ATUA NGURUKA NA KUMNADI KAFULILA, POLISI YAONYESHA WELEDI KATIKA KAZI ~ K-VIS