Picha: Lowassa akiwa Kigoma

Picha: Lowassa akiwa Kigoma

i concur mkuuuuu....iio nyomi yoote ilienda kushaangaaa chopa ioo
 
I swear huyu askari aliepiga saluti atawajibishwa

Kile.chama cha kijani ni laana kwa taifa

2tampatia u RPC wa kigoma bt ukienda k protcl askari huyu yupo sawa kumpgia salute EL mbona kova alimpigia salute mwili wa marehemu kanumba? sasa kanumba na EL nani anafaa kupgiwa salute
 
Wewe muache tu apige kelele huku JF.
October ndio atatafuta pa kuificha id yake.

Ukwel haufichiki bwana lowasa kaleta upinzani mkubwa sana na pengine anaweza kushinda hatuwez kujua maana kura yangu n moja na yako moja
 
Shikamoooo Mr President. I salute you as well yaani sijui kama gambaz wanaangalia haya mambo. Ndugu zanguni hebu mlio na ndugu zenu kwa magamba ongeeni nao kwa lugha ya uhakika waingie katika safari ya uhakika, ya mabadiliko ya uhakika. Our boloved President Lowassa.
 
I swear huyu askari aliepiga saluti atawajibishwa

Kile.chama cha kijani ni laana kwa taifa

Ametoa salute kwa waziri mkuu mkuu wa zamani. Kugombea urais haufuti ukweli kwamba aliwahi kuwa waziri mkuu.
 
2tampatia u RPC wa kigoma bt ukienda k protcl askari huyu yupo sawa kumpgia salute EL mbona kova alimpigia salute mwili wa marehemu kanumba? sasa kanumba na EL nani anafaa kupgiwa salute
Halafu EL bado ni Waziri Mkuu mtaafu na anahitaji heshima zote. I like you Lowassa. Ungekuwa mwanamke ningesema I love Ms. President.
 
I swear huyu askari aliepiga saluti atawajibishwa

Kile.chama cha kijani ni laana kwa taifa

Yaani hawa maccm wanakera sana aisee! Ila akiwajibishwa after oktoba atarudishwa kazini na kupewa cheo na Rais Lowasa!
 
I swear huyu askari aliepiga saluti atawajibishwa

Kile.chama cha kijani ni laana kwa taifa

attachment.php

Askari hili lina akili sana, limeshagundua huyu jamaa anaelekea wapi? Hongera Afande kwa kujitambua!!!
 
Ukwel haufichiki bwana lowasa kaleta upinzani mkubwa sana na pengine anaweza kushinda hatuwez kujua maana kura yangu n moja na yako moja
Mkuu hamasisha kadri unavyoweza. eilimisha vijana kwa wazeee, wababa kwa wamama please. Ukiweza kuongea na ndugu zako kwa kuanzia na marafiki utatengeneza kura nyingi tu.
 
kupiga saluti ni halali huyu mtu ana hadhi ya uwaziri mkuu mstaafu hivyo msisahau
 
Alikuwa boss wake so kumpu heshima haina mana yakwamba anakosea soma sheria ya kijeshi utaewewa tuu name bora heshima kuliko vurugu.😛eace:😛eace:
 
Back
Top Bottom