Picha: Lowassa akiwa Kigoma

Picha: Lowassa akiwa Kigoma

Wameenda kushangaa chopa. Baada ya aibu aliyopata kule Katavi, hatimaye Lowasa katumia mbinu iliyompa umaarufu Dr Slaa ya kutumia Chopa


Hata mkimrubuni Lowassa mabadiliko yako pale pale
 
I swear huyu askari aliepiga saluti atawajibishwa

Kile.chama cha kijani ni laana kwa taifa

awajibishwe kwa lipi sasa? hujui kama Lowasa ameshika madara makubwa ndani ya nchi hii? akipewa heshima hiyo kuna utata gani?
 
Ninachoona ni kundi kubwa la nyumbu wakiwa na simba mwenye njaa
 
Huyo askari alijisahau tunamsamehe huwezi kumfanyia mtu kamahuyo heshima kiivyo!! TEAM WAZALENDO

Tumia akili wewe,Lowasa ni wazir mkuu mstaafu zaidi ya yote ni afisa wa jeshi mstaafu(luteni) salute ni haki yake.
 
Wachaga wengi mnakuwa na imani na kitu kisichowezekana. Hata Dr Slaa mlisema vivyo hivyo

Dk Slaa alisema mlimuibia kura au hammuamini tena maana mmesema ni mzalendo na mkweli nashangaa kwanini kwenye hili la kumwibia kura 2010 mmetofautiana naye?
 
Hadi Nguruka vijana hawaambiliki tena..pole Slaa/Lipumba....mwamko haupo mijini tu hadi vijijini
 
Huyo askari inaonyesha anamkubali sana lowassa na hiyo saluti aliipiga automatical hata bila yeye kujielewa. Lakini nina imani mungu atamfanyia muujiza na ndoto yake itakuwa kweli
 
New Image0.JPG New Image01.JPG
New Image1.JPG
New Image02.JPG
New Image2.JPG
New Image03.JPG
New Image04.JPG
New Image4.JPG
New Image05.JPG
New Image5.JPG
New Image06.JPG
New Image6.JPG New Image07.JPG
New Image7.JPG
New Image8.JPG
New Image9.JPG
New Image.JPG
Picha zote na Othman Michuzi
Source : Team Lowassa
 
Lazima CCM ife mwaka huu
Kaburi lake liko tayari pale zenji.
Sasa nasikia maiti itasafirishwa na View attachment 283701View attachment 283701
kuzikwa dodoma.Yote sawa tu.ilimradi
Kuondoa mzoga njiani.Maana hata waombolezaji
kule Zenji hakuna tena,ni UKAWA MBELE KWABELE
 
I swear huyu askari aliepiga saluti atawajibishwa

Kile.chama cha kijani ni laana kwa taifa

Naomba kagulila achukue details zake ili apewe nishani ya ujasiri baadaye mwaka huu. Amekuwa mfano bora
 
I swear huyu askari aliepiga saluti atawajibishwa

Kile.chama cha kijani ni laana kwa taifa

Mkuu ata wakimuwajibisha haisaidii maana katekeleza kimpasacho kwa kuwa "MH.EDWARD NGOYAI LOWASSA" ni mkubwa kwake kijeshi kwa Kuwa LOWASSA ANA SHANI TATU ZA JESHI PIA NI CAPTAIN NA CANAL.
 
Back
Top Bottom