Huyo askari alijisahau tunamsamehe huwezi kumfanyia mtu kamahuyo heshima kiivyo!! TEAM WAZALENDO
wewe usiyejua ndo unasema kajisahau kumbuka EDWARD LOWASA alishawahi kuwa waziri mkuu wa nchi hii na kwa mjibu wa Katiba yetu waziri mkuu bado anaendelea kuwa na beji na cheo chake cha uwaziri mkuu hata akitoka madarakani ndio maana hadi leo bado analindwa na usalama wa serikali na bado analipwa stahili zake zote kama waziri mkuu mstaafu hivyo huyo askari aliyempigia saruti hajafanya hivyo kwa bahati mbaya EL bado ana jina la uwaziri mkuu