Picha: Lowassa akiwa Kigoma

Picha: Lowassa akiwa Kigoma

Ni Mtume wa Demokrasia na Uchumi wa Tanzania.Tunawaache wakihubiri historia ya 1947. sisi Ikulu....
 
lowassa atua nguruka na kumnadi kafulila, polisi yaonyesha weledi katika kazi



View attachment 283672

View attachment 283674
mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitiachadema, akiwakiliosha vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi, ukawa, mh. Edward lowassa, akipokea saluti kutoka kwa askari polisi, wakati alipowasili kwa helkopta, kwenye uwanja mdogo wa ndege nguruka kati, jimbo la kigoma kusini, kulikofanyika mkutano wa kampeni za mgombea huyo, leo septemba 4, 2015 ambapo pia alitumia fursa hiyo, kumnadi mgombea wa jimbo hilo kupitia nccr-mageuzi, akiwakilisha ukawa, mh. David kafulila

View attachment 283676
mh. Lowassa, akisalimiaana na mamia ya wakazi wa mji wa nguruka waliohudhuria mkutano wake wa kampeni
View attachment 283677

View attachment 283678
View attachment 283679
View attachment 283680
wananchi wakionyesha alama inayotumiwa na ukawa hivi sa sa ya "mabadiliko" wakati wa mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea wake mh. Edward lowassa, na mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe huko nguruka
View attachment 283681
View attachment 283682
View attachment 283683
kijana akiwa na bango lenye ujumbe. (picha zote na othman michuzi)
source: lowassa atua nguruka na kumnadi kafulila, polisi yaonyesha weledi katika kazi ~ k-vis

asante lowassa.........waleteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom