Tujitokeze kwa wingi oct25 makamanda tuyang'oe maccm
Mshua anajua lakini??
Hatumchagui mtu anayejinyea hata siku moja. #HapaKaziTu Chagua MAGUFULI. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MAGUFULI Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kajinyeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu ccm imeoza kila sekta madampo katikati ya makazi ya watu maji hakuna Umeme ndio usiseme yaani hata kula na kipofu hawajui magufuli aliahidi flying over itajengwa wapi mpaka leo Hakuna reli kwishney Foleni dar Ndio usiseme masaa matatu njiani hospital huduma mbovu dawa wanagawana viongoziHata kama ni nyota, ccm imewakosea nini , kwanini mnaichukia kiasi hiki, km barabara mmejengewa, au mpaka flyover? Basi tutajenga hapo ubungo na tazara , na dawa zitakuwa zinapatikana hsp, hata madawati tutaweka kwenye shule za vijijini, hapo vp!
Weee, MKE wa mtu huyo
nifah mnaenda wapi basi na mie nchukueni................................................. sidhani kama kuna njia huko!!!!
Haaaaaa!Kaka umeniozesha lini?
Au hutaki mahari?
Shauri zako.
Hebu ongea na atoto basi naye abadili mawazo!??
Nchi yetu Mwaka huu viva Ukawa
dah yani EL asipochukua nchi,hyo cku nitauzunika sana na kutoa machozi vibaya mno...
Ila naamin kura yangu ndio ya ushindi kwa Lowasa,nitapiga na kulinda kura hyo mpaka matokeo yatakapo bandikwa
Diamond wa UKAWA ni yupi mbona umma unamiminika ivi!