Tujitokeze kwa wingi oct25 makamanda tuyang'oe maccm
mwanamby;
Pia chuki zetu kwa maccm zisitufanye tukaweka alama yeyote Zaidi ya yule tunayemtaka. Kura itakuwa imeharibika. Weka vema tu kwa umpendaye mengine umeshajibu tiyari nenda ngojea kuapishwa tu