Mwaka 2015 TCRA walizima internet Lowassa akiwa Mgombea mwaka 2024 TCRA wameweka internet kijijini kwa Lowassa akiwa amekufa

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,041
Inashangaza kidogo ila ndio ukweli.Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi mkuu Hayati Edward Lowassa aligombea urais kwa Tiketi ya Upinzani.

Ili kuhakikisha Wapinzani hawarushiani Matokeo na kuyajumlisha TCRA walizima Internet Nchi nzima.

Mwaka 2024 TCRA hao hao Wamewasha Internet BURE huko kijijini kwake Monduli wakati Edward Lowassa anasubiriwa kuzikwa ili Waombolezaji Watume Picha za Mazishini.

Hiyo ndio TANZANIA.
 
Wasengerema sana
 
Na yapo maccm kule yamejazana yanamaliza ng"ombe wa lowassa
 
Inashangaza kidogo ila ndio ukweli.Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi mkuu Hayati Edward Lowassa aligombea urais kwa Tiketi ya Upinzani.

Ili kuhakikisha Wapinzani hawarushiani Matokeo na kuyajumlisha TCRA walizima Internet Nchi nzima.

Mwaka 2024 TCRA hao hao Wamewasha Internet BURE huko kijijini kwake Monduli wakati Edward Lowassa anasubiriwa kuzikwa ili Waombolezaji Watume Picha za Mazishini.

Hiyo ndio TANZANIA.
Ule msemo wa kwamba Chama kimeshika hatamu bado upo mpaka sasa !!
 
Inashangaza kidogo ila ndio ukweli.Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi mkuu Hayati Edward Lowassa aligombea urais kwa Tiketi ya Upinzani.

Ili kuhakikisha Wapinzani hawarushiani Matokeo na kuyajumlisha TCRA walizima Internet Nchi nzima.

Mwaka 2024 TCRA hao hao Wamewasha Internet BURE huko kijijini kwake Monduli wakati Edward Lowassa anasubiriwa kuzikwa ili Waombolezaji Watume Picha za Mazishini.

Hiyo ndio TANZANIA.
Waache "WAFU" wazike "WAFU" wao...
 
kitu pekee anachoweza kufanya Mwafrika kwa ufanisi ni roho mbaya, unafiki na kufanya lolote apate madaraka.
 
Back
Top Bottom