Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Tujitokeze kwa wingi oct25 makamanda tuyang'oe maccm

mwanamby;
Pia chuki zetu kwa maccm zisitufanye tukaweka alama yeyote Zaidi ya yule tunayemtaka. Kura itakuwa imeharibika. Weka vema tu kwa umpendaye mengine umeshajibu tiyari nenda ngojea kuapishwa tu
 
Hatumchagui mtu anayejinyea hata siku moja. #HapaKaziTu Chagua MAGUFULI. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MAGUFULI Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kajinyeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Nilishawaambia ile pilipili mliotwanga pale DODOMA ilikuwa ni kali sana itawapalia, na mtakohoa sana. Mpaka mkohoe damu mwaka huu.
 
Hata kama ni nyota, ccm imewakosea nini , kwanini mnaichukia kiasi hiki, km barabara mmejengewa, au mpaka flyover? Basi tutajenga hapo ubungo na tazara , na dawa zitakuwa zinapatikana hsp, hata madawati tutaweka kwenye shule za vijijini, hapo vp!
Mkuu ccm imeoza kila sekta madampo katikati ya makazi ya watu maji hakuna Umeme ndio usiseme yaani hata kula na kipofu hawajui magufuli aliahidi flying over itajengwa wapi mpaka leo Hakuna reli kwishney Foleni dar Ndio usiseme masaa matatu njiani hospital huduma mbovu dawa wanagawana viongozi
 
nifah mnaenda wapi basi na mie nchukueni................................................. sidhani kama kuna njia huko!!!!

Uncle Zamiluni Zamiluni nimeshakushtukia una harufu ya maCCM!
Hata sina hamu na wewe kabisaaa,subiri tukirudi kutoka kwenye mabadiliko nitakupitia twende kushuhudia Lowassa akiwa anaapishwa.
 
Last edited by a moderator:
dah yani EL asipochukua nchi,hyo cku nitauzunika sana na kutoa machozi vibaya mno...
Ila naamin kura yangu ndio ya ushindi kwa Lowasa,nitapiga na kulinda kura hyo mpaka matokeo yatakapo bandikwa

Piga kura urudi nyumbani otherwise ukikaidi utapigwa tu maana amna namna nyingne sasa watakupiga tu
 
Mh! Naomba kuuliza hivi upinzani wa mwaka huu unaweza kulinganishwa na kipindi kile cha mrema alipokuwa NCCR? mlioshuhudia kipindi hicho 1995 mnisaidie
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom