MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
V4C inaendelea nini? Ilizinduliwa Arusha na makamo wa pili wa Rais znz
Mbona Lipumba anakuuma sana!! nasikia hajaoa..unaweza kubahatika endelea kumpigania!
umeshindwa hoja!! Umeamua kujifarij kwa matusi! ....ngoja nione nini kinafuata baada ya matusi yako.....,hamkawiagi kusema mmetumiwa SMS za vitisho!!
1. Hizo picha zimepigwa kisanii ili watu waonekane wengi. Ukitaka kuona umati ni mkubwa kiasi gani lazima upate Perspective View na sio picha iliyopigwa kwa angle ndogo.
2. Tabora ndio sehemu pekee Lipumba anaweza kupata hao watu 350. Ambao kati ya hao, 200 ni wa CCM wanaokuja kutoa ushirikiano kwa chama mke chao, na 150 ni wa CUF wenyewe, yaani makabwela
3. CHADEMA haigawi fedha watu wahudhurie mkutano, wala CDM haibebi watu na coaster kuwapeleka mikutanoni mikoani. Huko kutakuwa kujidanganya kama wanavyojidanganya CUF
4. Nikukumbushe kuwa, kwenye Uchaguzi mdogo wa Igunga, CUF walipata 2% na hiyo ndio TASWIRA ya CUF kitaifa, kwa hiyo usijisumbue kulinganisha na CDM. Kama hapo hapo kwenye mkoa wenu mlipigwa bao, sasa sijui kwingineko mnataraji nini.
5. CDM sio chama cha KISULTANI. Mwaka 2015 CUF ikimsimamisha tena Lipumba mtakuwa mnaithibitishia dunia kuwa chama kina upungufu wa watu wenye akili timamu kwa hiyo Lipumba hana mbadala.
6. Sabodo angeweza kuwapa fedha CUF pia. Lakini ukumbuke kuwa Sabodo hatoi sadaka kama wahindi wa Jay Ambe. Sabodo anatoa fedha kwa malengo ya kuleta mabadiliko kwa hiyo CUF haiwezi kupata kwa kuwa haina impact nje ya msikiti[/QUOT
Unaitwa mtoka pabaya, jina lako na akili yako sawasawa kabisa
Kaweken mkutano pemba halafu muweke picha hapa tuone!!
Nyie chongeni lakini Prof Lipumba anafanya kweli
Mkuu usipate nao tabu Cdm nape alishasema kinyago wamekichonga wenyewe hakiwezi kuwatisha kikwete alikuwa hatakiwi na Mfumo wakatoa walaka vigango vyote vikahamasishana kumpigia kula slaa jakaya Ndio anamaliza atasimama mgombea Wa ccm anaekubalika na Mfumo kula za chadema zitarudi ccm hata igunga ilikuwa hivyo kumkomoa kikwete hata hui jeuri Yao bungeni Mfumo unawabeba Ndio maana hawataki time Huru ya Uchaguzi washazoea kubebwa na mfumo
amekumbuka shuka kumekucha
vibaraghashia ndio vilileta uhuru,mpaka Nyerer pia alivikubali na yeye akatafuta chake akawa anavaa,ongopa sana wavaaji wa hivyo vitu,ni wapenda maendeleo.lakini yakishapatikana,wanatupwa nje ya mfumo.Vibaraghashia huwa ni vingi sana kwenye mikutano ya CUF
vibaraghashia ndio vilileta uhuru,mpaka Nyerer pia alivikubali na yeye akatafuta chake akawa anavaa,ongopa sana wavaaji wa hivyo vitu,ni wapenda maendeleo.lakini yakishapatikana,wanatupwa nje ya mfumo.
Unaitwa mtoka pabaya, jina lako na akili yako sawasawa kabisa
Kaweken mkutano pemba halafu muweke picha hapa tuone!!
Nyie chongeni lakini Prof Lipumba anafanya kweli
Duhu!!!!vibaraghashia ndio vilileta uhuru,mpaka Nyerer pia alivikubali na yeye akatafuta chake akawa anavaa,ongopa sana wavaaji wa hivyo vitu,ni wapenda maendeleo.lakini yakishapatikana,wanatupwa nje ya mfumo.
Ongeza maombi na makemeo huenda vikapungua, Umeskia Ndugu zako mbeya Wamemzika akiwa Hai katekista Mstaaf kwa Kukithiri Ulozi na Uchawi kijijini?
Onyesha chuki moja tu kwenye sentensi yangu ya Vibaraghashia. Nikuchukie au niwachukie kwa kipi mlichonizidi/mlichotuzidi? Shirikisha ubongo dogo...mbona hata wakat waukombozi wa Tanganyika zilikuepo nyingi tuu!!,.......chuki tu + roho mbaya