PICHA: Lipumba alivyofunika Tabora jana

PICHA: Lipumba alivyofunika Tabora jana

Sometimes Lipumba anafanyaga mambo ya kijinga!
Mara afadhiriwe na CCM, mara aongee kama mtu huru kweli! ah! Ameiua CUF sasa!

Anae fadhiliwa na CCM ni CHADEMA acha umbulula wewe!!, hivi kada wa ccm SABODO angikuwa anaisaidia CUF ingikuaje...kusoma hujui hata picha huoni.

nyie chongeni lakini Prof LIPUMBA anafanya kweli!!
 
Tulinganishe na hii hapa ya uzinduzi wa Kanda wa CHADEMA! Lipumba Ameiua cuf, halafu eti huko ndo alikozaliwa!

wee umepiga upande mmoja wa mashariki halafu unataka kusumbua watu, kama ungekua muadilifu na unataka kulinganisha kweli unge kaa na mashariki ukapiga kusini na pande zote ukaweka picha tuoni!!!

propaganda za tanzania daima unaleta humu.....

"nyie chongeni lakini Prof Lipumba anafanya kweli"
 
Anae fadhiliwa na CCM ni CHADEMA acha umbulula wewe!!, hivi kada wa ccm SABODO angikuwa anaisaidia CUF ingikuaje...kusoma hujui hata picha huoni.

nyie chongeni lakini Prof LIPUMBA anafanya kweli!!

Mbona watokwa povu weye!!!

Lipumba huwa ananunuliwa bwana!! Hivi wewe kweli uanaona zina mtosha!!

...Unachanganya suala la michango ya Sobodo hapa! Yeye huwa anasema kabisa CCM imemchosha anatamani CDM iongoze nchi..na humalizia kwa kusema " I am very proud of you Dr Slaa!!"

Lipumba anafahdiliwa na mafisadi wa CCM kina JK , Lowassa na waovu wengine wa magamba!!
 
mbona baraghashia ni nyingi sana? Au ndy ile propaganda ya ccm kuwa cuf ni chama dini inaonekana'

sorry nimekumbuka Tabora kuna waislamu wengi,
 
Mbona watokwa povu weye!!!

Lipumba huwa ananunuliwa bwana!! Hivi wewe kweli uanaona zina mtosha!!

...Unachanganya suala la michango ya Sobodo hapa! Yeye huwa anasema kabisa CCM imemchosha anatamani CDM iongoze nchi..na humalizia kwa kusema " I am very proud of you Dr Slaa!!"

Lipumba anafahdiliwa na mafisadi wa CCM kina JK , Lowassa na waovu wengine wa magamba!!

weee mbulula kweli, Dr Slaa akiwa na bandage ktk mkono basi ujue kaanguka chooni,....... lakini Prof Lipumba akiwa na bandage katika mkono basi ujue kipigo kutoka kwa polisi kwa kudai katiba mpya!!, mwenye akili timam atajivunia nani awe kiongozi wake!!

nyie chongeni lakini Prof LIPUMBA anafanya kweli
 
Vp na wewe JK alikutumia sms au ulitumiwa na mkuu wa mkoa?.......naona unaropoka tu!!
 
Kwa sifa na uwezo anao prf.LIPUMBA ,tatizo ni mzuka wa wengi,Hitler alipita kwa kura za wengi lkn walijuta,ZAMBIA CHILUBA(mlokole) alikuwa anahutubia mpaka analia,watu nyomi,lkn akawa dikteta,aliiba pesa na kuweka nje lkn mwishowe alizisalimisha serekalini,lkn mpaka anakufa alikuwa anakabiliwa na kesi za madawa ya kuleva.tuwe makini tupunguze jazba.
 
weee mbulula kweli, Dr Slaa akiwa na bandage ktk mkono basi ujue kaanguka chooni,....... lakini Prof Lipumba akiwa na bandage katika mkono basi ujue kipigo kutoka kwa polisi kwa kudai katiba mpya!!, mwenye akili timam atajivunia nani awe kiongozi wake!!

nyie chongeni lakini Prof LIPUMBA anafanya kweli

Mbona Lipumba anakuuma sana!! nasikia hajaoa..unaweza kubahatika endelea kumpigania!
 
Vibaraghashia huwa ni vingi sana kwenye mikutano ya CUF

Ongeza maombi na makemeo huenda vikapungua, Umeskia Ndugu zako mbeya Wamemzika akiwa Hai katekista Mstaaf kwa Kukithiri Ulozi na Uchawi kijijini?
 
Kwa sifa na uwezo anao prf.LIPUMBA ,tatizo ni mzuka wa wengi,Hitler alipita kwa kura za wengi lkn walijuta,ZAMBIA CHILUBA(mlokole) alikuwa anahutubia mpaka analia,watu nyomi,lkn akawa dikteta,aliiba pesa na kuweka nje lkn mwishowe alizisalimisha serekalini,lkn mpaka anakufa alikuwa anakabiliwa na kesi za madawa ya kuleva.tuwe makini tupunguze jazba.

kuna jamaa ana Phd ya biblia lakin hajui kuwa mke wa Mtu huwez kumuoa mpaka mumewe afe lakin wako bize mahakaman wanaomba talaka ili amuoe mke wa Mtu!
 
Laiti tv zingekuwa hazina upendereo Lipumba anatisha na hapo Ndio makabwela wanachangishana kufanikisha mikutano Hongera Lipumba hapo kada Wa ccm sabodo anaewapa pesa chadema WANa Siri gani na ccm

1. Hizo picha zimepigwa kisanii ili watu waonekane wengi. Ukitaka kuona umati ni mkubwa kiasi gani lazima upate Perspective View na sio picha iliyopigwa kwa angle ndogo.

2. Tabora ndio sehemu pekee Lipumba anaweza kupata hao watu 350. Ambao kati ya hao, 200 ni wa CCM wanaokuja kutoa ushirikiano kwa chama mke chao, na 150 ni wa CUF wenyewe, yaani makabwela

3. CHADEMA haigawi fedha watu wahudhurie mkutano, wala CDM haibebi watu na coaster kuwapeleka mikutanoni mikoani. Huko kutakuwa kujidanganya kama wanavyojidanganya CUF

4. Nikukumbushe kuwa, kwenye Uchaguzi mdogo wa Igunga, CUF walipata 2% na hiyo ndio TASWIRA ya CUF kitaifa, kwa hiyo usijisumbue kulinganisha na CDM. Kama hapo hapo kwenye mkoa wenu mlipigwa bao, sasa sijui kwingineko mnataraji nini.

5. CDM sio chama cha KISULTANI. Mwaka 2015 CUF ikimsimamisha tena Lipumba mtakuwa mnaithibitishia dunia kuwa chama kina upungufu wa watu wenye akili timamu kwa hiyo Lipumba hana mbadala.

6. Sabodo angeweza kuwapa fedha CUF pia. Lakini ukumbuke kuwa Sabodo hatoi sadaka kama wahindi wa Jay Ambe. Sabodo anatoa fedha kwa malengo ya kuleta mabadiliko kwa hiyo CUF haiwezi kupata kwa kuwa haina impact nje ya msikiti
 
Huyu jamaa mtu muhimu kwa taifa la Tanzania lakini siasa zinamfanya aonekane si lolote si chochote
Profesa rudi Australia na kusahau kauliza wazee ASIE KUJUA AKUTHAMINI TANZANIA HAIKUJUI
 
hahahhahahahahahahhahahahahhahhahahahh,kwakweli CUF wana moyo,wallah wabillah!!!yaani mtu bado anajipa matumaini na mgombea urais wa kudumu,
"nyie chongeni lakini prof lipumba anafanya kweli"...hahahahhah,yani nacheka hapa we acha tu
 
weee mbulula kweli, Dr Slaa akiwa na bandage ktk mkono basi ujue kaanguka chooni,....... lakini Prof Lipumba akiwa na bandage katika mkono basi ujue kipigo kutoka kwa polisi kwa kudai katiba mpya!!, mwenye akili timam atajivunia nani awe kiongozi wake!! nyie chongeni lakini Prof LIPUMBA anafanya kweli
Umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaali sana,nimemkumbuka bingwa wa kuanguka adharani majukwaani.DHAIFU
 
Back
Top Bottom