PROF Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi Tabora jana.
![]()
======
![]()
View attachment 91956
View attachment 91947 View attachment 91955
Next tym mwambieni asiwaseme wenzake oo maandaman ooh mikutano haiiishi kumbe anatamani angekuwa na uwezo wa kuifanya!

Oyaa siasa uliijua 2010 niñi maandamano Ndio asili cuf ushasahau ngangari ushasahau Mkapa alipiga marufuku mikutano na maandamano wanaume tukaingia barabarani hadi watu wakafa bara na Zanzibar au kipindi hicho ulikuwa moshi
Vibaraghashia huwa ni vingi sana kwenye mikutano ya CUF
wpi wewe!tangu lini vibaraghashia wakapenda maendeleo zaidi ya fujo tu?au fujo ndy maendeleo?vibaraghashia ndio vilileta uhuru,mpaka Nyerer pia alivikubali na yeye akatafuta chake akawa anavaa,ongopa sana wavaaji wa hivyo vitu,ni wapenda maendeleo.lakini yakishapatikana,wanatupwa nje ya mfumo.
wpi wewe!tangu lini vibaraghashia wakapenda maendeleo zaidi ya fujo tu?au fujo ndy maendeleo?