Huku mwanerumango hao wote tunawaita vigoli, kama haina mapezi yanayoyoning`inia umri ni namba tu.View attachment 970713
Korea kusini, ndio nchi inayo ongoza Duniani kwa Raia wake kufanya plastic surgery(matengenezo ya mwili), ili kuleta muonekano mzuri kwao. hii picha imekuwa gumzo sana mitandaoni, kutokana na wanawake hawa kufanya matengenezo ya mwili ili kuwa na muonekano mzuri Unaambiwa katika hii picha uyo wa katikati, ni mama wa hao wa wili wa pembeni na ana miaka 63..Huyo wa pembeni kulia ni mtoto wake anaitwa Lure Hsu, mwenye miaka 41, na huyo wa pembeni kushoto ni mtoto wake pia, anaitwa Sharon, mwenye miaka 36 MWISHO
Hiyo huduma ikija bongo sasa sipati picha wamama watu wazima watakavoishangilia
Kurekebisha TiGO au GOTi?Nami nikipata pesa naenda.
Kufa kufa tu....nisipokufa kwa ajali, nitakufa kwa Ukimwi
Kwani umepungukiwa na nini mpendwaNami nikipata pesa naenda.
Kufa kufa tu....nisipokufa kwa ajali, nitakufa kwa Ukimwi
Nataka nikafanye tummyKwani umepungukiwa na nini mpendwa
Hapo sawa. Lakini kwanini usifanye tu mazoezi na kunywa maji ya moto kila siku?Nataka nikafanye tummy
Nyama zitalegea sanaHapo sawa. Lakini kwanini usifanye tu mazoezi na kunywa maji ya moto kila siku?
Utaskia "amefariki akiwa kijana mbishi kabisa " kumbe kafa akiwa na miaka 63
HahaKuna jamaa mmoja marekani Alifanya operation akabadili jinsia akawa wakike akapata bwana, asa akawa anashangaa Mbona hapati mimba kumuuliza bwanaake akamjibu hata yeye zamani alikuwaga wa kike akabadili jinsia kuwa wa kiume Ila operation haikufanikiwa hundred percent hivyo hawezi kuzalisha.....
Mdada mkaka akazimia hapohapo
Umesema sahihi kabisa...Nami nikipata pesa naenda.
Kufa kufa tu....nisipokufa kwa ajali, nitakufa kwa Ukimwi
Hakika ...Bora maisha mafupi ya raha kuliko marefu ya karaha....
AiseHawa Jamaa Hata Wakati Wa Kutafuta Ajira, Sura Nayo Ni Kigezo Mojawapo Cha Kupata Kazi! Ndio Maana Kama Wewe Si Handsome Au Beautiful Hakuna Namna Inakubidi Tu Ukachonge Uso!
Kuna jamaa mmoja wa huko china iliwahi kumkuta hiiUnajibadili muonekano alafu ukija kuzaa mtoto anatoka anafanana na topetope mnabaki mnatazamana kumbe mwanamke alijibadilisha muonekano
Yeah ndio kilicho mtokea jamaa mmoja hivi huko china ...akawa anashangaa mkewe amezaa watoto wenye sura mbaya ... alipoanza kufuatilia akabaini kwamba mkewe alifanya hiyo operation ya suraHahaha! Ila Mtoto Atafanana Na Sura Yako Ya Awali Kabla Ya Kupigwa Surgery!
ha ha hah ha hahKuna jamaa mmoja marekani Alifanya operation akabadili jinsia akawa wakike akapata bwana, asa akawa anashangaa Mbona hapati mimba kumuuliza bwanaake akamjibu hata yeye zamani alikuwaga wa kike akabadili jinsia kuwa wa kiume Ila operation haikufanikiwa hundred percent hivyo hawezi kuzalisha.....
Mdada mkaka akazimia hapohapo