Picha: Korea Kusini ni nchi inayoongoza kwa watu wanaofanya upasuaji wa kubadili mwili(plastic surgery)

View attachment 970713

Korea kusini, ndio nchi inayo ongoza Duniani kwa Raia wake kufanya plastic surgery(matengenezo ya mwili), ili kuleta muonekano mzuri kwao. hii picha imekuwa gumzo sana mitandaoni, kutokana na wanawake hawa kufanya matengenezo ya mwili ili kuwa na muonekano mzuri Unaambiwa katika hii picha uyo wa katikati, ni mama wa hao wa wili wa pembeni na ana miaka 63..Huyo wa pembeni kulia ni mtoto wake anaitwa Lure Hsu, mwenye miaka 41, na huyo wa pembeni kushoto ni mtoto wake pia, anaitwa Sharon, mwenye miaka 36 MWISHO
Huku mwanerumango hao wote tunawaita vigoli, kama haina mapezi yanayoyoning`inia umri ni namba tu.
 
Kuna jamaa mmoja marekani Alifanya operation akabadili jinsia akawa wakike akapata bwana, asa akawa anashangaa Mbona hapati mimba kumuuliza bwanaake akamjibu hata yeye zamani alikuwaga wa kike akabadili jinsia kuwa wa kiume Ila operation haikufanikiwa hundred percent hivyo hawezi kuzalisha.....

Mdada mkaka akazimia hapohapo
Haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja marekani Alifanya operation akabadili jinsia akawa wakike akapata bwana, asa akawa anashangaa Mbona hapati mimba kumuuliza bwanaake akamjibu hata yeye zamani alikuwaga wa kike akabadili jinsia kuwa wa kiume Ila operation haikufanikiwa hundred percent hivyo hawezi kuzalisha.....

Mdada mkaka akazimia hapohapo
ha ha hah ha hah
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom