Picha: Kinana akiwa ziarani jijini Mbeya

Picha: Kinana akiwa ziarani jijini Mbeya

Ulaghai unapofika kileleni huko ndiko kwenye point of no return zaidi ya kuparanganyika na kuanza ulaghai tena upya.

CHADEMA kimewalaghai wananchi kwa muda mrefu na kwa sasa kimefikia kikomo cha ulaghai ambapo kwa wananchi wameanza kuufahamu ukweli wa sababu ya CHADEMA kuwepo kwenye uwanja wa siasa.

Kwa sasa wameanza hata kuchakachua picha za kwenye mikutano kama walivyochakachua kuhusu mkutano wa Dr. Slaa wilayani Kahama jana

CHADEMA siyo chama cha siasa ndani ya demokrasia kwa manufaa ya demokrasia bali ni private-owned enterprise through political project.

CHADEMA ni kampuni ya watu fulani fulani wanaotumia siasa kujitajirisha. Ole wako uwahoji kuhusu matumizi ya pesa za ruzuku. That will be the end of you as CHADEMA member.

These people are just political profiteers.

Waacheni wafu wa siasa mdani ya CHADEMA wazikane.
Pole sana, yaani inaonyesha ni jinsi gani CHADEMA inakunyima usingizi, ila ndo imepangwa itokee hivyo hakuna wa kuzuia mabadiliko miaka 50 ni mingi sana na watu wamechoka, umaskini unazidi sasa ni zamu ya wengine, thread ina title "Picha: Kinana akiwa ziarani jijini Mbeya" sasa nashangaa unaacha mada unakuja na mada mpya kuhusu CHADEMA, Pole sana
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda bajaji tayari kwa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Luanda Nzovwe Mwanjelwa jijini Mbeya akitokea ofisi za CCM mkoa wa Mbeya, huku Nape Nnauye naye akijiandaa kuinga kwenye bajaji. Kinana akiongozana na Ujumbe wake pamoja na viongozi wa mkoa wa Mbeya na wilaya leo wametumia usafiri huo ili kuonyesha kwamba Chama hicho ni chama cha wananchi wa kawaida ambao ni wafanyakazi na wakulima tofauti na wenzetu wanaojifanya wanawatetea lakini wanakuja na Helikopta na kuwachangisha michango ya fedha kisha wanatokomea zao. Katika msafara huo pia yupo Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)

Vijana wa Mwanjelwa wakiuzuia msafara wa Kinana wakati alipokuwa akielekea uwanja wa Luanda Nzovwe kwenye mkutano jambo lililofanya Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye watembeee kwa mguu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakitembea kwa miguu katika eneo la Mwanjelwa huku vijana wakiwashangilia
Abdulrahman Kinana akiwa katika bajaji iliyomchukua

Nape Nnauye akiwa katika Bajaji iliyombeba
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwapungia mikono wananchi wakati wakielekea kwenye mkutano.

Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa akizungumza na wananchi katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakiwa katika meza kuu.
Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo.
Kada wa CCM aliyejiunga na CCM hivi karibuni akitoka chama. cha CHADEMA Braison Mwasimba akiunguruma katika mkutano huo
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akimwaga sumu katika mkutano huo.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akiwaimbisha wananchi katika mkutano huo.
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Michael Senka mashairi jukwaani wakati mkutano huo ukiendelea leo jioni.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akitolea ufafanuzi wa mbolea ya Minjingu ambayo imekataliwa na wananchi wa mkoa wa Mbeya huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza kwa makini

Kada wa Chama cha Mapinduzi Tambwe Shitambala akizungumza katika mkutano huo.
Mkakati mzuri kuonyesha chama kiko karibu na watu wa kawaida. Lakini ni kweli? Je kinana na wenzake wataweza kukirejesha chama mikononi kwa wavuja jasho (wakulima na wafanyakazi)? ccm siku hizi inamilikiwa na wafanyabiashara mafisadi. Mkakati wa kwanza kukikomboa chama ingekua kuwazuia mabepari uchwara kununua kura uchaguzi uliopita jambo ambalo lilihujumiwa kirahisi. Hata hivyo kinana ni katibu mwenye mbinu na mkakati mzuri; je ataweza kuivusha ccm 2015? Yetu macho!
 
hii tabia ya kuwadanganya watanzania wawaone nyie ni wananchi wa kawaida wakati mnajijua kabisa kuwa nyie sio wananchi wa kawaida inaniudhi sana
 
hii c Mbeya ninayoijua mimi. Ndo yale ya kusomba watu kwa magari toka Mbeya vijijini na zile mbinu za kuwavesha sare za maccm kwa lazima wanafunzi wa shule za jumuiya za wazazi za Maccm jijini Mbeya hasa SANGU sec na META hii yote ni kudanganya umma wa watanzania kuwa bado mnamvuto Mbeya. Ewe Kinana na Nape mcje mkajicfu kwa umati huo wa watu hizo ni mbinu tu za viongozi wa Maccm Mbeya hasa wanapoenda viongozi wa kitaifa jijini humo ili wasiaibike.

Mkuu Pop 2011, nlikuwepo kwenye mkutano wa maccm jana, picha zote hizo wamezichakachua kama kawaida yao.
 
Hofu kubwa yakikumba chama cha Mapinduzi.
°Waamua kutumia bajaji mitaani.
°Wajifananisha na Wakulima na Wafanyakazi
°Wagawa tshet kwa lazima.
°Watumia Polisi kutisha wana Mbeya.

sawa kabisa kwa maomi yako,lakini hizi njozi unazoota zita kupa majibu 2015..CCM bado chama dume la begu
 
Tusubiri 2015 maana CDM hamtaamini kitakachowakuta! Tutalazimika kuweka ambulance kila kona kwa ajili ya kutoa huduma za kwanza!

Kutakuwa na homa za pressure hususan kwa vijana wenye mawazo ya CDM kushinda! Kwani Anza kuondokana na mawazo hayo mapema usije ukawa miongoni mwao!
 
Mimi niko Mbeya mjini, nishuka uwanjani nilipokuwa natoka kazin nilikuta mkutano ukiendelea. CCM walijitahdi sana kutafta watu kwa gharama ya fedha, halafu watu wengi sana wanachama wa CHADEMA walikuwa wamesimama kando ya mkutano wakiwachambua ccm wakiwacheka wakiona viongozi wa ccm walivyokuwa wakiweweseka.

Jambo kubwa nalotaka pia mlifahamu, ccm walikusanya wafanyakazi wa ofisi za selikari, kuanzia ngazi ya kitongoji wakiwataka wafike pale uwanjani. magari mengi sana ya serikali yalifika pale naamini kwa kujikomba ila sio kupenda chama.

Kwa ujumla ccm Mbeya wanapoteza muda wao. Watu uwanjaniwalikuwa ni kama wanaombboleza. Kinana na Nnauye walikuwa wanataja matatizo lukuki ya wananchi kwa styleya kjipendekeza wakionesha wako upande wa wananchi wakiwatetea. Ilikuwa ni aibu tupu. Mbaya zaidi watu wote walioongea hawana mvuto, na hawana uwezo wa kuvuta hadhira kwa lugha ya kuongea mbeye ya wengi (Attractive Mass communication language).

Watu waliovumilia hadi mwisho wa mkutano ni takribani ni 1/3 tofauti na wanachadema ambao wanalazimishwa na polisi kurudi majumbani. CCM wanajidanganya sana, siku zao zinahesabika.
1. rushwa
2. kutumia nguvu ya pesa through rushwa kutawala,
3. kushindwa kutekeleza ahadi wakitekeleza kwa maneno.
4. kushindwa kushughulukia wahujumu uchumia/mafisadi.
5. kushindwa kutatua matatizo ya kijamii mf. umeme, maji, elimu, afya n.k
6. kushindwa kuondoa mpasuko wa kiipato kati ya "the haves, and the have no") walio nacho, na wasio nacho. etc hakika hawabaki 2014/2014.

KICHEKESHO: Kinana aliahdi wananchi wa Mbeya kuwa matatizo ya elimu mbeya yote yataisha ndani ya meizi 6. Nilikasirika niaondoka kwenye mkutatano kwenda home uyole. Nilihisi anafaa anyongwe kwa kudanganya umma kiasi hicho.

Mungu atatuvusha salama, CHADEMA ikionesha njia ya utawala bora.
 
Ulaghai unapofika kileleni huko ndiko kwenye point of no return zaidi ya kuparanganyika na kuanza ulaghai tena upya.

CHADEMA kimewalaghai wananchi kwa muda mrefu na kwa sasa kimefikia kikomo cha ulaghai ambapo kwa wananchi wameanza kuufahamu ukweli wa sababu ya CHADEMA kuwepo kwenye uwanja wa siasa.

Kwa sasa wameanza hata kuchakachua picha za kwenye mikutano kama walivyochakachua kuhusu mkutano wa Dr. Slaa wilayani Kahama jana

CHADEMA siyo chama cha siasa ndani ya demokrasia kwa manufaa ya demokrasia bali ni private-owned enterprise through political project.

CHADEMA ni kampuni ya watu fulani fulani wanaotumia siasa kujitajirisha. Ole wako uwahoji kuhusu matumizi ya pesa za ruzuku. That will be the end of you as CHADEMA member.

These people are just political profiteers.

Waacheni wafu wa siasa mdani ya CHADEMA wazikane.

Hoja inahusu Kinana akiwa Mbeya; CHADEMA na Dr. Slaa wanahusikaje hapa!
 
Mbona 89% wamevaa jezi? Ni wananchi au wanachama waliosombwa toka maeneo mbali mbali na malori?
 
Mkuu Simba wa Yudah, umenena kweli tupu, baada ya wewe kuonoka vuvuzela Nape alimuomba Dentist atoe tamko la maccm kuhusu vimashine vya EFD. Maelezo ya Kinana yalinikela sana kuawaganya misukule wa ccm kuwa hata yeye ameshitukia bei ya EFD, kana kwamba Kinana hishi hapa Tanzania, kelele na migomo ya wafayabiashara wa Mbeya, Morogoro na Kaliakoo hajawai kusikia.

Mimi niko Mbeya mjini, nishuka uwanjani nilipokuwa natoka kazin nilikuta mkutano ukiendelea. CCM walijitahdi sana kutafta watu kwa gharama ya fedha, halafu watu wengi sana wanachama wa CHADEMA walikuwa wamesimama kando ya mkutano wakiwachambua ccm wakiwacheka wakiona viongozi wa ccm walivyokuwa wakiweweseka.

Jambo kubwa nalotaka pia mlifahamu, ccm walikusanya wafanyakazi wa ofisi za selikari, kuanzia ngazi ya kitongoji wakiwataka wafike pale uwanjani. magari mengi sana ya serikali yalifika pale naamini kwa kujikomba ila sio kupenda chama.

Kwa ujumla ccm Mbeya wanapoteza muda wao. Watu uwanjaniwalikuwa ni kama wanaombboleza. Kinana na Nnauye walikuwa wanataja matatizo lukuki ya wananchi kwa styleya kjipendekeza wakionesha wako upande wa wananchi wakiwatetea. Ilikuwa ni aibu tupu. Mbaya zaidi watu wote walioongea hawana mvuto, na hawana uwezo wa kuvuta hadhira kwa lugha ya kuongea mbeye ya wengi (Attractive Mass communication language).

Watu waliovumilia hadi mwisho wa mkutano ni takribani ni 1/3 tofauti na wanachadema ambao wanalazimishwa na polisi kurudi majumbani. CCM wanajidanganya sana, siku zao zinahesabika.
1. rushwa
2. kutumia nguvu ya pesa through rushwa kutawala,
3. kushindwa kutekeleza ahadi wakitekeleza kwa maneno.
4. kushindwa kushughulukia wahujumu uchumia/mafisadi.
5. kushindwa kutatua matatizo ya kijamii mf. umeme, maji, elimu, afya n.k
6. kushindwa kuondoa mpasuko wa kiipato kati ya "the haves, and the have no") walio nacho, na wasio nacho. etc hakika hawabaki 2014/2014.

KICHEKESHO: Kinana aliahdi wananchi wa Mbeya kuwa matatizo ya elimu mbeya yote yataisha ndani ya meizi 6. Nilikasirika niaondoka kwenye mkutatano kwenda home uyole. Nilihisi anafaa anyongwe kwa kudanganya umma kiasi hicho.

Mungu atatuvusha salama, CHADEMA ikionesha njia ya utawala bora.
 
mkuu,rejea hotuba za Mwl Julius Nyerere alipokuwa anazungumzia nafasi na umuhimu wa chama tawala kwa vyama vya upinzani. ili vyama vya upinzani vistawi lazima vikikosowe chama tawala. CHADEMA kinakitaja CCM kuonyesha uozo ili watu wajue kinachoendelea serikalini chini ya CCM. Chama tawala kinapokiandama chama kimoja tu cha siasa kila kwa sekunde wakati kuna vyama vingine vya siasa lukuki, lazima ujiulize maswali mengi kama hujawa likizo kufikiri au juu ya shingo yako hujabeba koroma!

Misuguano lazima iwepo ili kuleta maendeleo, ila hawa wamezidi kila kukicha CD hiyo hiyo, watwambie mipango yao ikoje katika nchi hii... siyo blah! blah! nakupiga picha za wafuasi wao nakuzipeleka huko kwa wafadhiri wao.
 
Huo ni ujanja wa kizamani, kupanda bajaji ndio sisi mnatujali, je kutoka Dar mpaka hapa Mbeya mlikuja kwa basi kama ilivyo sisi wananchi?
 
Back
Top Bottom