Picha:Kimsboy akipata mbege kidogo mambo yetu yale

Picha:Kimsboy akipata mbege kidogo mambo yetu yale

Nimebahatika kukutana live na members wa jf Kama wanne hivi nikagundua kumbe wengi wao humu ni wakawaida sana

Yaani mtu unakutana naye mkisalimiana tu basi maana unakuta huna la kuongea nae
Wote mlikuwa ktk same situation hata wao waliona kama ulivyoona wewe ni vile hamkuambiana tu,kwamba ni wa kawaida sana!

Mie nadhani jambo zuri ni ku-judge mtu anavyowakilisha hoja zake kwa weledi muonekano wa nje siyo hoja hoja ni je anautumiaje ubongo wake?
 
Back
Top Bottom