Picha:Kimsboy akipata mbege kidogo mambo yetu yale

Maalim mangi umeupiga mwingi,,, mpaka waisrael wa tandale kwa mkunduge wanapata na mhaho humu!
 
Yan kijana mdogo mm Nilijua wew n jitu na vurugu zako zote zile kwa wazayuni
 
Hahahahaha Aisee sijui nilikua wapi kukuona huu Uzi wa muajemi mweusi kutoka machame,
Bwasheee umetisha Sasa mbona umekaa kama peace maker ila nyuma ya keyboard una choko choko Kwa wazayuni?
Anyway Ngoja kina Netanyahu wa Namtumbo waje!
😁😁😁😁
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom