Elections 2010 Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

Mtalia sana...

Kumekucha sinema ya DAMIAN O MEN 3 yatua Bongo rasmi.Kwa mwendo huu sijui Tanzania italewekaje kwa nchi za Magharibi?Sahau kukopeshwa na taasisi za magharibi,wataogopa hiyo tekinologia mpya rasmi ya TZ kutoa pesa zao.Labda kutoa misaada kama ya Haiti.
 
Mtalia sana...
fe2uso.jpg
 
Kama wachungaji, mashehe, na mapadre wameweza kuchaguliwa kuwa wabunge sioni tatizo kama waganga wa kienyeji wakichaguliwa vile vile.
 
Anakwenda kutoa "ulinzi wa majini" kwa wabunge wa CCM na Kikwete, kama alivyoahidi sheikh Yahaya.
 
Kwa jina la yesu kristu alie hai, kikwete umelaaniwa wewe, na wachawi wengine, mmeshamwasi mungu wa isreael , na kamwe hamtaiona tanzania ya 2015!

Mungu wetu hashindwi na wachawi wenu
 
Mie naogopa kuchangia mawazo jamaa anaweza kukuadhibu huko huko ilipo

hahaaaa kha hii ni kiboko, huyu jamaaa sasa sijui litakopokuwa linakuja swala kuwadhibiti waganga wa kienyeji na matumizi ya viungo vya albino yeye atakuwa na mchango gani
 
Jamani tuwe tunajitahidi kuwa objective. Hivi haki ya kuchagua na kuchaguliwa inaanzia wapi na kuishia wapi? Huyu maji marefu mbona anaqualification zinazofanana na mgombea wa makamu wa Rais wa CHADEMA? Yaani darasa la saba???
 
issue kubwa kwa huyu mheshimiwa ni kwamba hajui kingereza hata chembe, achilia mbali labda anaweza kuwa na uwezo wa kupambanua mambo lakini sasa zile sheria zetu za nchi zilizoandikwa kimombo atazielewa je ili awatetee wapiga kura wake??...mh! kaaazi kweli kweli!
 
Maendeleo ni suala la utaifa siyo chama. Uwe upinzani au ccm, we chagua dr. Slaa na wabungwe wa upinzani hasa chadema
 
Huyu Professa ofisi zake kwa dar ziko wapi? Manyau nyau naye angegombea japo udiwani
 
Wakati nchi zilizoendelea walikuwa wanawaondoa waganga wa kienyeji kwa kuwauwa maana waliona hawana tija kwa maendeleo ya taifa, inasikitisha tanzania wanakumbatia huu mgando ambao ulishachacha siku nyingi. Hii nchi inahitaji maombi, nasema wananchi wafunge na kuomba, maana tuanakoelekea sasa hakujulikani. Upande wa kushoto yupo shekh yayh akimshauri mhesimiwa na kumwongezea kinga za kuanguka, huku upande wa kulia jamaa anamtambulisha mzee wa makaratee ya ndumba.
 
CCM chai sana na ni wajinga wa kupitiliza
Yaani mmeona ni bora kuleta waganga wa kienyeji bungeni sio?
Haya kazi mnayo this time
jamani hawa sisiemu ni wahuni hapo wanawaandalia fusha wabunge machachali sasa ole wao nao kama hawataomba hifadhi ya maisha yao kwa Yesu awalinde na nguvu za giza, hwao wabunge wanganga wa kienyeji wote wanataka kuenda bungeni kupuliza tu
 
Back
Top Bottom