Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Original Pastor, Sep 13, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  JK amnadi Profesa Maji Marefu Korogwe vijijini leo

  [​IMG]

  JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM kiti cha Korogwe Vijijini Bw. Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu mchana huu katika kijiji cha Mashewa kilichoko Korogwe vijijini

  [​IMG]
  Bango la Profesa Maji Marefu

  Huyu ni Mganga Maarufu wa CCM wameona wampe Ubunge kwa tiketi ya Chama Chao Sasa Je Huko Bungeni na Kazi yake itakuwaje au anakwenda kwa ajili ya kuwaagu wa Bunge kule Bungeni au atasaidia kuleta maendeleo ya Taifa letu??? Hii Nchi sio Gambia Mbunge lazima awe mganga sasa huku tunapokwenda sasa Ni hatari zaid. Wananchi CHAGUA CHADEMA KWA MAENDELEO YAKO. Usikubali kupoteza kura yako kwa kuchagua hii. HATARI NCHI IMESHAUZWA SASA WANATAFUTA KINGA ZA GIZA.​
   
 2. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mie naogopa kuchangia mawazo jamaa anaweza kukuadhibu huko huko ilipo
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama unaipenda nchi yako Njangia uwe muwazi au wewe haupo upinzani???????????

   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nauliza: Katika jimbo hilo CCM hawako ndani ya maji marefu?
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kama unamuamini mungu wewe changia tu. Shibuda huyo anadunda mbona na alijitokeza kugombea urais ijapokuwa bwana sheikh yahaya alisema atakufa!!!
   
 6. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  CCM wameamua kupeleka kinga bungeni!!
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ccm ni chama cha wachawi na watu wenye mawazo dhalili na wahujumu wa uchumi na raslimali za taifa.
  Yuko yule wa Urambo aligombea jina lake limenitoka ni mganga, manyaunyau ni mwanaccm pia, shehe Yahya hussein na Maji marefu.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Sifahamu hUyu jamaa amesomea nini, lakini naona ndoto za Bunge la safari hii kuwa la COMEDIANS!...
  Anyway, labda wananchi wa huko wanapenda shughuli zake, na hivyo wanaamini watasaidika zaidi akiwa mteule wao!
   
 9. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ha ha ha haaaaaaa ... ngoma imepata bikra
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hehehehe
  shetani plays his slots
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Prof Mashuzi Marefu naye atakuwa akimwongezea Kikwete nguvu!
   
 12. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndiyo. Ndumba kwa mbele! Tujiandae kukatwa viungo na kuuawa na hawa waganga kwani sasa watakuwa na watetezi kibao: bungeni, serikalini (kuanzia ngazi ya juu kabisa), ikulu, baadhi ya media, nk. Tutapona kweli?
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Rev wewe ni kiboko!
   
 14. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2010
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  CCM chai sana na ni wajinga wa kupitiliza
  Yaani mmeona ni bora kuleta waganga wa kienyeji bungeni sio?
  Haya kazi mnayo this time
   
 15. S

  SuperNgekewa Member

  #15
  Sep 13, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shehe Yahya, Prof. Maji Marefu, Majini... Wahenga wanasema utamjua mtu kwa kampani anayo-keep. Waganga wa kienyeji na imani ya uchawi ni pande mbili za sarafu moja. Watanzania wanajua sana jinsi viongozi wa CCM wanavyopiga foleni kwa hawa waganga wakati wa uchaguzi na pindi kukiweko na mgao wa vyeo. Wanaamrishwa na hawa waganga kufanya vitu wakiwa uchi na kuchimbia vitu ardhini kwa kutumia makalio yao.... Na wanatii amri na kutekeleza hayo!

  Kama viongozi wa nchi wanakuwa na fikra na imani za namna hii huwezi kutegemea nchi ikaendelea. Umaskini wa nchi siyo ukosefu wa fedha bali unatokana na ukosefu wa uongozi wenye fikra za maendeleo.
   
 16. asam.thegunner

  asam.thegunner Member

  #16
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi sidhani kachaguliwa kwa sababu ya uganga wake. Nilikuwepo Korogwe muda mfupi uliopita Steven Ngonyani ndio mgombea anayekubalika kwa wananchi wa jimbo lake kuliko mgombea yeyote. Labda uniambie kuna mengine nisiyoyajua.
   
 17. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona jibu unalo mwenyewe? lipi lina mfanya akubalike? waulize hao wana korogwe..

  Mr. "Devo" at his best!
   
 18. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM wanachama wake Mafisadi, waganga wakienyeji na wafananao na hao
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mtalia sana...
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Nasikia siku hizi ameacha uganga ni tajiri wa kutupwa huko Korogwe....
   
Loading...