Picha, Kikwete - Pope Benedict nani mkali wa draft? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha, Kikwete - Pope Benedict nani mkali wa draft?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Sep 12, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Naona kama ni CHESS vile
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Hivi mkuu wa ma Ulamaa duniani ni nani?
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwani kuna umbali gani toka temeke mpaka dar..?? HAKUNA ULINGANIFU WOWOTE HAPO!
   
 5. b

  babacollins JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani hii ni draft mkuu?!!! ina jina lakeee.........................
   
 6. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngoja zomba aione. Kama hakusema alikwenda kujadili Mufti ajae awe ni nani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huna raha kama hujamtaja Zomba.

  Hiyo ni zawadi kutoka kwa Kikwete kwa mzee Papa, acheze vizuri chess kama kawaida yake.

  Ni zawadi nzuri inayoonesha jinsi Watanzania wanavyoweza kuchonga kwa kutumia mikono.
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Sidhani kama yupo maana huwa naona wanajiamulia tu kila kona ya Dunia kwa jinsi wanavyojisikia,Afghanistani,Saudia,Irani,Paistani,Yemeni,Somalia,na kwingineko wanaweza
  kutafsiri jambo moja katika maana tofauti kabisa..
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulamaa maana yake ni wasomi ni uwingi wa neno Alim au msomi.

  Kila msomi kuna aliye mzidi.

  Hapo sasa.
   
Loading...