Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 335
- 661
Wakati YANGA wana JEZI kali 1992 Pichani chini SIMBA iliyocheza FAINALI mashud abiola cup 1993 wakiwa na Jezi za MANCHESTER UNITED. Nashangaa wanavyodai kuwa timu ya kwanza kuvaa jezi
Wallah kuna watu konyo sana ila majembe.....teh teh teh teh.Subili Yanga abebe iyo ndoo ya cafcl ndipo utaona picha za wachezaji wa Simba wakiwa na jezi za Brazil walipochukua Ubingwa wa champion league Mwaka 1892 nchini Ethiopia
Hebu rudia tena ndoo ya nini?Subili Yanga abebe iyo ndoo ya cafcl ndipo utaona picha za wachezaji wa Simba wakiwa na jezi za Brazil walipochukua Ubingwa wa champion league Mwaka 1892 nchini Ethiopia
Siku zote sikio halizidi kichwa. Mdogo ni mdogo tu. Simba hawajawahi kupatia kwenye suala zima la jezi. Yanga ataendelea kubakia kuwa baba lao.Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru (sasa Taifa) Jijini Dar es Salaam. Bao hilo pekee la Yanga lilifungwa na beki wa kushoto, Kenneth Pius Mkapa dakika ya 10 akimtungua kipa hodari, Mwameja Moha
Wakati YANGA wana JEZI kali 1992 Pichani chini SIMBA iliyocheza FAINALI mashud abiola cup 1993 wakiwa na Jezi za MANCHESTER UNITED. Nashangaa wanavyodai kuwa timu ya kwanza kuvaa jezi