Je umeipata hii?
kama uliwahi kusikia ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu, hapa inathibitisha; katika hali isiyo ya kawaida, kanisa na Bar ya pombe Vimefunguliwa sehemu moja milango miwili tofauti (kushoto mlango wa kanisa,kulia mlango wa kuingia baa)
huko maeneo ya kigamboni kwa chagani jijini Dar es salam; vya shindana idadi ya waumini,kimbembe ni wakati kanisa linapomba neema ya Mungu huku walevi nao wakiomba waiter lete BIAAAA, ni sheeeeeeedaaah