Elections 2010 PICHA: Kampeni za Kikwete jimboni Karatu

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,013
1180ups.jpg

23ii51w.jpg


2hn4303.jpg
 
wadau karatu wamefuata burudani hapo kwani wasanii wachache huburudisha huko, hii haimaanishi kuwa huyu tumbo mbele ana lake hapo
 
wadau karatu wamefuata burudani hapo kwani wasanii wachache huburudisha huko, hii haimaanishi kuwa huyu tumbo mbele ana lake hapo

Hiyo inajulikana kabisa mkuu watu wanafuata FIesta ya bure, afanye mkutano bila Fiesta aone joto ya jiwe maana hata wanafunzi hawatakwenda
 
Anjua kuwa slaa atakuja huko karatu kuhiitimisha kampeni zakke?hao watu wa karatu hata baba wa taifa anawajua,wakisema moja wanamaanisha moja,sasa kama kikwete ni zaidi ya nyerere aendelee kuwa na matumaini na huko
 
Hao ze comedy wanafanya nini?masikini kikwete,upewa ishara gani ili ujue kuwa mwisho wako tayari?
 
NASHUKURU SANA MLETA PICHA HIZI. Kama Karatu watu walikuwa wengi hivi basi nimefurahi sana kujua kuwa kumbe umati wa Kikwete tunaoona maeneo mengine niwa kutengeneza?
KILA MTU ANAJUA AIBU ITAKAYOPATIKANA KARATU NA KAMA WATU NI WENGI HIVI MAHALI CCM ITAKAPOAIBIKA BASI KUMBE MAENEO MENGI TUNAYOONA UMATI HAKUNA KITU.
Kila mtu anajua kuwa Karatu mgombea wa CCM hawezi hata kupata nusu ya kura za mgombea wa CHADEMA.
Hivyo picha hii inanipa picha ya Tanzania nzima.
UMATI MWINGI HAUMAANISHI USHINDI KWA CCM . Kwani wahudhuriaji wengi wanaletwa na kubebwa na pia kufuata vitu vingi uwanjani.
KIKWETE ALIJUA HILO HUKO LINDI. ALIOMBA ALETEWE BENDERA ZOTE NA AKAJUA UMATI HUO NA BENDERA HIZO NI UONGO. AKASEMA KILA ALIKOPITA ALIONA BENDERA ZA UPINZANI AKIWA ANGANI.
MAMA SALMA NAYE MBEYA ALIKIRI KUWA AMEONYESHWA WAZI VIDOLE VIWILI.
KAMA KARATU UMATI NI MKUBWA HIVI HUKU CCM IKIWA INASHINDWA VIBAYA HAPO BASI KUMBE HALI YA PICHA TUNAZOZIONA TUJUE MAMBO NI MAGUMU.
 
Jamani eeeh hapa watu WAMEKUJA KUWAAMGALI KINA-JOTI na kina-POPOOOOOOOOOOO!
Watu hawakuja kusikiliza sera za KIKWETE baali kuangalia ZE KOMEDI ORIJINO!
Hivi unafikiri vijana wanaoning'inia juu ya miti wana msikiliza JK???SAHAU mwanakwetu.

Habari za kuaminika ni kwamba kuna mabasi yalikodishwa toka ARUSHA kupeleka watu Karatu kuepusha AIBU ya JK!!!!
 
Hata ningekuwa mimi ningeenda kupata burudani ya bure huku nikujua kuwa burudani hainiondolei umaskini wangu. KURA YANGU KWA DR WA UKWELI!!!
 
Malori na mabasi yalisomba watu kutoka majimbo ya mbali ya uchaguzi ili kumnusuru JK asiadhirike kwenye mkutano wake wa kampeni hapo Karatu jana.

Tanzania Daima limeripoti kwenye ukurasa wake wa mbele habari nzito isemayo ""Janja" yamwokoa JK Karatu"

Huu ni uthibitisho tosheleza JK anaelewa kuwa hakubaliki hapa nchini na amekuwa akitumia mbinu mbalimbali zikiwemo hizi za kusomba watu kwa malori kutoka majimbo yasiyohusika na kuchakachua picha za mwaka 2005 ili kuboresha mahudhurio mabovu kwenye mikutano yake ikiwemo kuwatumia kizazi kipya kuvuta watu kuhudhuria ..............

Lengo lake haswa ni nini?

Ni dhahiri huu ni mkakati mzito wa kuchakachua matokeo ili ionekane mahudhurio yake naye yalikuwa mazuri jambo ambalo siyo la kweli........
 
Hiyo ndiyo inayofanyika siku zote za kampeni zake, Anasomba watu kibao na magari mengine ya watanzania wanafiki au watu wenye maslahi binafsi yanasomba watu wengi kupeleka kwenye kampeni.
Kwa kifupi umati wa JK ni wa kununua maana zaidi ya kupewa usafiri wanalipwa kuanzia 5000 hadi 10,000 kwa watu wa kawaida na nguo ndo usiseme.
lakini kampeni za Dr. Slaa na wenzake ni dry watu wanakuja wenyewe kusikiliza.
Ni hatari sana kwa sababu ile kwanza ni rushwa ambayo hata PCCB wenyewe wamefungia vioo.
Pili malori hayaruhusiwi kubeba watu, lakini polisi wanakodolea mimacho tu,
Ndo hali halisi, oinayotusukuma kuona kuwa MABADILIKO MWAKA NA KUENDELEA LAZIMA YAWE YA DHATI KABISA
Dr. SLAA HAKUNA KULALA!!!!!!!
LAZIMA CCM WANG'OKE
 
Tanzania Daima limeripoti leo mahudhurio hayo yalichakachuliwa kwa kuwabeba watu wa majimbo mengine nje ya Karatu ili kumnusuru JK aibu ya kukosa watu katika ngome kuu ya Chadema hapo Karatu..........
 
Wakuu nimeshuhudia mabasi[Coaster] ya Riverside yakipeleka watu Karatu kwaajili ya kampeni za Kikwete bila shaka wanajua wasingepata watu wa kutosha kwenye mkutano wao Karatu.Zoezi la kusomba watu uambatano na posho na chakula sijui kama TAKUKURU wataweza kuwachukulia hatua zozote.
 
_DSC0398.JPG


Hapa boti laPolisi linatumika kampeni za CCM...NI SAWA HII?...halafu mkuu ilibidi abebwe mgongoni si mnaona hao waungwana walivyotota ndani ya maji?
 
Back
Top Bottom