Picha: Kamanda Mawazo M4C lake zone

Picha: Kamanda Mawazo M4C lake zone

"Ee Mungu mlinde Kmanda Mawazo" na tuinulie taifa la Tanzania watu wengine japo
kumi wenye moyo wa mageuzi kama huyu ili kumaliza nguvu ya magamba na masalia"
wote sema AMEEN"
 
attachment.php
attachment.php
 
Huyu ningependa kuwasiliana naye kwa kweli... contacts... ananikumbusha Mwalimu alipoingia kijiji baada ya kijiji na kuwaachia TANU makao makuu...

Hi M/K

Huyu jamaa ni mfano mzuri wa mabadiliko ya Kiutawala Tanzania. Hatuhitaji kuingia mstuni kuwaondoa mafisadi ving'ang'anizi wa madaraka.
 
Hongera sana kamanda Mawazo kwa elimu ya Ukombozi kwa Watanzania.
 
wana jf nijulisheni hili jembe kamanda mawazo ninani na 2015 jembe hili lita chukua jimbo gani yaan mawaz ni lazima akaungana na akina lema mjengoni jamaa hatari sana kwa magamba viva tupo pamoja tumeanza na mungu tamaliza na mungu
 
Ni M4C coordinator wa kanda ya ziwa,alikuwa diwani wa kata ya sombetini kule Arusha kupitia CCM kabla ya kuvua gamba na kuvaa gwanda mapema mwaka jana,ni rafiki wa karibu sana na kamanda Lema, ni mzaliwa wa Geita,kuhusu ubunge hajatangaza nia.
 
Mkuu refer post yako niliyoi-quote,unasema Mawazo angekuwa anatokea K'manjaro furaha ingekuwa mara mbili,wenye kufikiri sawa sawa tulikujibu kama ulivyouliza hapo juu,
Yule nliyemnukuu mimi vipi ? Hujamuona ? yeye anatwambia mawazo ni uzao Arusha sisi inatuhusu nini ?
Au kwa sabubu yeye ni kamanda mwenzako umeamua kumpotezea ?
yale yale akinya bata...mnamtukana...kuku akinya ... mnampotezea
 
Mkuu nadhani kwa maelezo yako haya hukubaliani na ubaguzi,uchochezi wa kikanda(ukabila nk),pamoja sana,
 
Back
Top Bottom