Picha: Kamanda Mawazo M4C lake zone

Picha: Kamanda Mawazo M4C lake zone

huyu mchizi ni over size sijui ana fit wapi, anakuambia hii nchi bila kuleta noma maendeleo ni habari ya kusadikika hapa bongo, huku jk na washikaji zake wakiendelea kupiga hela huku wakitupigia porojo.
 


....kwa Taarifa yako hiki ni kifaru kinacho kwenda kimyakimya Kishindo chake kimeyafanya magamba ya changanyikiwe kule KIGOMA......

....ni Kikosi kimoja na lile JEMBE LA ARUSHA...

Shuhudia Maangamizi makubwa zaidi ya magamba.... vikosi vya makamada vitakapo anza kushambulia
KIKANDA.... namaanisha Kanda MAALUMU..kwa operation... SAFISHA MAJANGILI





 
Huyu ningependa kuwasiliana naye kwa kweli... contacts... ananikumbusha Mwalimu alipoingia kijiji baada ya kijiji na kuwaachia TANU makao makuu...

Mzee Mwanakijiji naona umemkubali Kamanda Mawazo kama Mwanakijiji wa ukweli (kama wewe)!
 
Huyu Mawazo tunahitaji kumuunga mkono , ni jembe la ukweli , anapatikanaje ?
 
Unapomsikiliza huwanapata shida sana sana ilikuwaje akawa CCM
 
Wakati Nape na Mwigulu walikuwa wameweka nguvu zao kujaribu kummaliza Dr. Slaa, sasa wameshtuka Kamanda mwingine wa Uhakika anabomoa ngome zao.

Hivi karibuni utaona threads zinaacha kumwandama Dr. Slaa, Lema, Lissu, na Mnyika. Wataanza kumwandama Kamanda Mawazo.
 
Nadhani angekuwa Uzao wa Kilimanjaro Furaha yetu ingeongezeka mara mbili

Mkuu jaribu walau kidogo tu kuficha unafiki wako.
Nataka nikufahamishe tu kuwa CDM wanatengeneza viongozi mahiri,wachapa kazi. Hongera kamanda Mawazo,
 
Harakati za ukombozi,huitaji ujasiri na watu wenye uthubutu kama huyu kamanda.hongera kamanda alphonce mawazo,na kamanda husna,kwa kumuhamisha meya(matata),kusababisha kilio cha ccm muleba,kusababisha mangula azomewe mwanza.

Huyu jamaa ni finiko aiseeeeeee mhm, hongera sana mkuu wewe ni jembe tena jembe balozi
 
Mkuu escober hii ni product nyingine ya kina Mwl. Methew,Mapera na wenzao pale Geita Sec...unaikumbuka?
 
Hongera sana kamanda Mawazo, baada ya kanda ya ziwa tunakuomba uje kanda ya kati hasa Singida, Tabora, Dodoma na Morogoro.
 
Kamanda Mawazo, Endelea kuchapa kazi, Mungu yuko pamoja nawe. Nasi tumekuwe katika sala zetu.
 
Jamaa nilikwenda kumusikiliza pale uwanja ulio karibu na BOT mza si wa kawaida. Nakumbuka alisema nimekuja kutangaza noma na sio amani. Na amani ipi tunayoaminishwa wakati ni shida tu n.k. Anauwezo wa kuhutubia na kama hauko sawasawa unaweza hata okota jiwe na kumtandika fisadi yoyote unayepishana naye.
 
Back
Top Bottom