Picha: John Heche Ndani ya Tarime

Picha: John Heche Ndani ya Tarime

Mkuu Kimbunga,
Miaka ya nyuma nilikuwa pale Tarime nilikaa kama miezi 6 nilikuwa na jamaa yangu saizi ni marehemu alikuwa anaitwa Masubo, nawajua vizuri, niliona ngoma ya IRITUNGU, niliipenda sana jinsi wanavyocheza uku wamebeba vibuyu viwili vya mbege au changarawe ili kutoa sauti vinapotikishwa, halafu jamaa anapuliza filimbi ndefu za matundu pamoja na makopo yanayofungwa miguuni mwa mpiga filimbi (Amaghoro)...ha haa haaa.
 
Last edited by a moderator:
Ritz kama ungekuwa unajiweza usingekubali kutumika na ccm kwa ujira wa buku mbilimbili kwa kila post. Kwahiyo unajikuta unaandika hata ujinga ili kuongeza idadi ya post.
M4C huifahamu na huwezi kuifahamu kwa sasa hadi akili yako ya kuku itakapokua.
Jinsi akili yako ilivyo ya kuku hata hujui kwamba M4C na operation Sangara zinaongozwa na Wakurya. Lakini kwakuwa hatutangazi makabila hapa ndio maana hawajitangazi.

Msamehe kidogo mkuu,acha kumvua nguo...kwikwiiii....kwiii.....kwiiii....
 
Last edited by a moderator:
Kimbunga mambo ya Wasaiga na Wazee wa Kimila yana wakati wake si kila mahali. Hizo picha ni mikutano ya hadhara aliyofanya maeneo mbalimbali.
Nikukumbushe kwamba wazee wa Kimila wana sehemu maalum ya kukutana na hakuna ruhusa ya kupiga picha. Pia si lazima kucheza Iritungu kila siku, hiyo kitu ina utaratibu wake.
Subiri nitakapotangaza nia jimbo la Serengeti nitakualika ushuhudie yote hayo, Iritungu, Kichuri, Wasaiga na madikodiko mengine!

Mkuu Mwita Maranya umenifurahisha sana.Hii ni the best post uliyowahi kupost hapa.
Mkuu kama unaenda Serengeti nakutakia kila la kheri na Mungu mfalme wetu akutimizie haja ya moyo wako.
Mkuu Mwita tegemea 100% Full Support from Molemo...
 
Pro-Chadema JF kwa kuliwazana na kujifariji nawasifu.
 
Mkuu Mwita Maranya kumbe una nia ya kujitosa kule Serengeti kwa Dr. Kebwe? Vipi Dr. Wanyancha harudi tena? Vipi mbona nikisikia Manyinyi naye anajiimarisha huko baada ya kubwagwa pale Musoma Town. Umepimaje hali ya hewa hadi sasa huko Serengeti panaingilika? Mkuu nitashukuru ukinialika nikashuhudie hayo majambo manake ni muda tangia nimeyashuhudia pale nilipotembelea mkoani Mara na wilaya zake zote. Kila la kheri katika mapambano haya najua uko makini huenda ukawapatia uwakilishi uliotukuka.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwita Maranya umenifurahisha sana.Hii ni the best post uliyowahi kupost hapa.
Mkuu kama unaenda Serengeti nakutakia kila la kheri na Mungu mfalme wetu akutimizie haja ya moyo wako.
Mkuu Mwita tegemea 100% Full Support from Molemo...

Mkuu Molemo unajua lakini mantiki ya ile post inayohusu wasaiga, kichuri na Iritungu? Mila hizo mzee na huko Tarime bila kukimbatia mila hufiki kokote. Ujue pia kwamba kama hukupata tohara ya kule ya kisu ukakimbilia hospitali wewe si mwanamume unakuwa kama katoto kadogo. Unawajua wasaiga?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kimbunga,
Miaka ya nyuma nilikuwa pale Tarime nilikaa kama miezi 6 nilikuwa na jamaa yangu saizi ni marehemu alikuwa anaitwa Masubo, nawajua vizuri, niliona ngoma ya IRITUNGU, niliipenda sana jinsi wanavyocheza uku wamebeba vibuyu viwili vya mbege au changarawe ili kutoa sauti vinapotikishwa, halafu jamaa anapuliza filimbi ndefu za matundu pamoja na makopo yanayofungwa miguuni mwa mpiga filimbi (Amaghoro)...ha haa haaa.

Duh Mkuu Ritz naona unaijua vizuri ile ngoma hasa hapo kwenye amaghoro! Umenikumbusha hilo jina. Nami niliishuhudia na kupenda jinsi wanavyotikisa vichwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo unajua lakini mantiki ya ile post inayohusu wasaiga, kichuri na Iritungu? Mila hizo mzee na huko Tarime bila kukimbatia mila hufiki kokote. Ujue pia kwamba kama hukupata tohara ya kule ya kisu ukakimbilia hospitali wewe si mwanamume unakuwa kama katoto kadogo. Unawajua wasaiga?

Tumuombee heri mkuu Maranya....
 
Tumuombee heri mkuu Maranya.........
 
Last edited by a moderator:
Tumuombee heri mkuu Maranya.........

Kusema kweli kutoka ndani ya nafsi yangu namuombea Mkuu Maranya katika safari yake hiyo. Ila sasa ajue kwamba siasa ni mikakati na mitandao asidanganywe kwamba muda wa kujitokeza bado hivyo akawa yeye ni Kitunda na Mwanagati tu au kule Gezaulole. Atembelee maeneo ya huko Serengeti, Robanda, Rung'abure, nk. akikutana na wazee na vijana kubadilishana nao mawazo aisje akaonekana ni mgeni siku ya kutangaza nia. Pia kama kuna safari ya M4C huko Serengeti ajitahidi awemo kwenye hiyo timu na apate muda wa kuwasalimi watu kwenye mikutano mbalimbali. Miaka miwili iliyobaki kabla ya uchaguzi si mingi!
 
Mkuu Kimbunga,
Kata unataka kuchukuwa jimbo la serengeti lazima akajipange vizuri kuonana na wazee wa Ring'wani, Nyamantare, Nyamoko, Kebanchabancha, Issenye, Mugumu, Kisangura...unadhani yule jamaa mwenye La kailo Hotel alichukuaje jimbo kutoka kwa Sarungi, nasikia naye ataki tena ubunge.
 
Last edited by a moderator:
Kusema kweli kutoka ndani ya nafsi yangu namuombea Mkuu Maranya katika safari yake hiyo. Ila sasa ajue kwamba siasa ni mikakati na mitandao asidanganywe kwamba muda wa kujitokeza bado hivyo akawa yeye ni Kitunda na Mwanagati tu au kule Gezaulole. Atembelee maeneo ya huko Serengeti, Robanda, Rung'abure, nk. akikutana na wazee na vijana kubadilishana nao mawazo aisje akaonekana ni mgeni siku ya kutangaza nia. Pia kama kuna safari ya M4C huko Serengeti ajitahidi awemo kwenye hiyo timu na apate muda wa kuwasalimi watu kwenye mikutano mbalimbali. Miaka miwili iliyobaki kabla ya uchaguzi si mingi!

Salute Mkuu Kimbunga.
 
Mie binafsi najiweza wala sitegemei mtu yeyote kama wewe kwanza huna uwezo wa kuhoji wala kumkosoa Mbowe, Slaa, Lema, ebu jaribu kuhoji kwa nini M4C inasimamiwa na watu kutoka kaskazini uone kama ujafukuzwa kama Kafulila au wale madiwani wa Arusha, kwenye M4C hakuna Mkurya, Msukuma, Mkinga, Muhaya, Mmakonde, Mgogo, wote uliowataja wanatatumika tu kwenye maandamano.
mkuu hapa hatujadili uwezo wako wa kujitegemea sisi tunajadili chama chetu na hatima ya tanzania yetu kwani umwamba wa kipato chako unamlisha nani? tuondolee pumba zako humu na uache kutokwa mapovu kila mtu anajitegemea
 
Ujamuuliza vipi wakati mwenyewe kaishasema anataka kugombea ubunge Tarime au unagopa kusema utafukuzwa chama, nidhamu ya uwoga mbaya sana...vipi Zakharia yupo nasikia mnamuogopa Tarime nzima.
kwani akitaka kugombea ubunge wewe unawashwa na nini? si mtanzania yule? ana haki ya kugombea popote tanzania hili mradi tu awe na uwezo
 
Wakuu Molemo na Kimbunga nashukuru sana kwa sala zenu. Naamini mtakuwa tayari kunipa support nitakapowafikia katika muda muafaka.
Ritz mimi mzaliwa wa Kisangura na siasa za serengeti nazifahamu sana jomba wala sibahatishi kwani nikiamua kuingia naingia miguu miwili dimbani baada ya kuzifanya kutokea jukwaani kwa muda wa kutosha.
Mkuu Kimbunga manyinyi amemkimbia Vincent musoma mjini lakini asichojua ni kwamba tuko tayari kumkabili na kumshinda kwa hali yoyote.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hapa hatujadili uwezo wako wa kujitegemea sisi tunajadili chama chetu na hatima ya tanzania yetu kwani umwamba wa kipato chako unamlisha nani? tuondolee pumba zako humu na uache kutokwa mapovu kila mtu anajitegemea

Mkuu nisamehe.
 
Kuna watu wanajipatia mkate wa kila siku kwa kuitaja Chadema. Kila siku lazima waanzishe mijadala juu ya Chadema au wajipenyeze kwenye mijadala isiyowahusu alimradi tu kuna harufu ya Chadema.
 
Pro-Chadema JF kwa kuliwazana na kujifariji nawasifu.
Rits Mwenyekiti wa CDM Wilaya ya IRAMBA arudisha kadi, Skafu na Bendera naye ataliwazwa kwa lipi hata kabla ya 2015?
 
Wakuu Molemo na Kimbunga nashukuru sana kwa sala zenu. Naamini mtakuwa tayari kunipa support nitakapowafikia katika muda muafaka.
Ritz mimi mzaliwa wa Kisangura na siasa za serengeti nazifahamu sana jomba wala sibahatishi kwani nikiamua kuingia naingia miguu miwili dimbani baada ya kuzifanya kutokea jukwaani kwa muda wa kutosha.
Mkuu Kimbunga manyinyi amemkimbia Vincent musoma mjini lakini asichojua ni kwamba tuko tayari kumkabili na kumshinda kwa hali yoyote.

Pamoja sana Kamanda Maranya.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom