Picha: John Heche Ndani ya Tarime

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,973
Haya ni baadhi ya matukio ya mikutano iliyofanywa hivi karibuni wilayani Tarime na mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Kamanda John Heche.

Wananchi wengi walijitokeza kuchukua kadi za Chadema, pia viongozi kadhaa wa serikali za vijiji (wa ccm) pamoja na viongozi mbalimbali wa ccm walijitokeza, wakavua magamba na kuvaa magwanda.
 
Attachments

  • DSC06567.JPG
    DSC06567.JPG
    42.8 KB · Views: 286
  • DSC06568.JPG
    DSC06568.JPG
    44.4 KB · Views: 339
  • DSC06572.JPG
    DSC06572.JPG
    55.2 KB · Views: 205
  • DSC06574.JPG
    DSC06574.JPG
    55.1 KB · Views: 183
  • DSC06575.JPG
    DSC06575.JPG
    62.4 KB · Views: 177
  • DSC06588.JPG
    DSC06588.JPG
    33 KB · Views: 170
  • DSC06596.JPG
    DSC06596.JPG
    39.1 KB · Views: 175
  • DSC06607.JPG
    DSC06607.JPG
    42.7 KB · Views: 146
  • DSC06620.JPG
    DSC06620.JPG
    40.6 KB · Views: 166
  • DSC06621.JPG
    DSC06621.JPG
    41.1 KB · Views: 164
Mkuu asante sana kwa taarifa. Hapo naona ni siasa na elimu ya uhakika kwa kwenda mbele kuelekea ukombozi tofauti na wale wehu wa kuvalisha mbwa nguo! CHADEMA kweli imekomaa kisiasa.
 
Haya ni baadhi ya matukio ya mikutano iliyofanywa hivi karibuni wilayani Tarime na mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Kamanda John Heche.

Wananchi wengi walijitokeza kuchukua kadi za Chadema, pia viongozi kadhaa wa serikali za vijiji (wa ccm) pamoja na viongozi mbalimbali wa ccm walijitokeza, wakavua magamba na kuvaa magwanda.

KAMANDA HECHE ANAKUBALIKA SANA TARIME , NDO AILYEMSTAFISHA FISADI MKUBWA WA CCM SIASA PETER ZACHARIA KATIKA UCHAGU MDOGO WA 2008 KUZIBA NAFAC YA WANGWE (udiwani wa tarime mjini)

CCM TARIME WANAMJUA SANA NAAMINI ATAREJESHA TARIME YA MWAKA 2008 ENZI YA TARIME KUWA NA MBUNGE WA CDM NA KUONGOZA HALIMASHAURI HADI KUPEWA HATI SAFI
 
Nasikia JH anataka Ubunge Tarime, tunamtakia heri afanikiwe.

Sijamuuliza kuhusu hili la ubunge lakini naamini anaweza kuwa mbunge mzuri kama wanavyowezakuwa makamanda wengine toka Tarime.
Bahati nzuri Tarime kuna makamanda majembe ya kutosha.
 
Ujamuuliza vipi wakati mwenyewe kaishasema anataka kugombea ubunge Tarime au unagopa kusema utafukuzwa chama, nidhamu ya uwoga mbaya sana...vipi Zakharia yupo nasikia mnamuogopa Tarime nzima.
 
Zakharia anamwogopa HECHE kama ukoma, muulize alichomfanyia uchaguzi mdogo kata ya TARIME MJINI, hadi leo hii anampa shikamoo pamoja na hela zote alizonazo hadi KUTANGAZA KUACHANA NA SIASA
 
Ujamuuliza vipi wakati mwenyewe kaishasema anataka kugombea ubunge Tarime au unagopa kusema utafukuzwa chama, nidhamu ya uwoga mbaya sana...vipi Zakharia yupo nasikia mnamuogopa Tarime nzima.

Ritz si kila kinachoandikwa na vyombo vya habari ni sahihi. Najua anayo nia ya kugombea ubunge lakini sijamuuliza kama kweli ametangaza rasmi.
Mimi silipwi kwa kupost kama wewe na genge lako hapa JF, ulivyonyimwa posho ukaamua kuhama kambi. Mimi niko hapa kwa hiari yangu na Chadema ninaijenga kwa mikono yangu na posho mimi ndiye nawalipa watendaji wangu.
Kama bado ccm mnamtegemea mjomba'angu zacharia andikeni maumivu kwa mara nyingine tena.
Mjomba amechoka hawezi kushinda hata uenyekiti wa kitongoji/mtaa.
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Heche unakunasha kuwa Heche ajasema kama anataka kugombea ubunge Tarime unaenda mbali zaidi unasema vyombo vya habari ni waongo wanamsingizia...mie sio mtumwa wa vyama vya siasa kama wewe ndio maana unaona nawachana wote, wewe ni mpambe wa kina Slaa na Mbowe, huna lolote wenye Chadema ni watu wa Kaskazini...eti unaijenga Chadema Mbowe na Slaa, nao watasemaje wewe kaa hapo usubiri maandamano ndio kazi yako.
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndiyo tofauti ya vijana wa magwanda na magamba

Vijana wa magamba hovyo kabisa sasahivi wako busy kupakana vinyesi kwenye mitandao ya kijamii.
Kila mgombea anatuhumiwa kutumwa na kigogo fulani ama kundi fulani linatafuta uraisi 2015. Hiyo ni dhahiri kwamba vijana wa mabwepande hawawezi bila kushikwa mkono.
Tofauti na Chadema ambako vijana wanapiga kazi kwa kwenda mbele hususan katika M4C wanafanya kazi moja kwa mshikamano mkubwa sana.
VIVA LE CHADEMA.
 
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Heche unakunasha kuwa Heche ajasema kama anataka kugombea ubunge Tarime unaenda mbali zaidi unasema vyombo vya habari ni waongo wanamsingizia...mie sio mtumwa wa vyama vya siasa kama wewe ndio maana unaona nawachana wote, wewe ni mpambe wa kina Slaa na Mbowe, huna lolote wenye Chadema ni watu wa Kaskazini...eti unaijenga Chadema Mbowe na Slaa, nao watasemaje wewe kaa hapo usubiri maandamano ndio kazi yako.

magamba bana...hawana jipya ni ukanda ukanda tu....mnatia huruma sana;
 
Haya ni baadhi ya matukio ya mikutano iliyofanywa hivi karibuni wilayani Tarime na mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Kamanda John Heche.

Wananchi wengi walijitokeza kuchukua kadi za Chadema, pia viongozi kadhaa wa serikali za vijiji (wa ccm) pamoja na viongozi mbalimbali wa ccm walijitokeza, wakavua magamba na kuvaa magwanda.

Hii mambo ndiyo inayowapa taabu magamba aka kuku wa kuchora.
 
Back
Top Bottom