Picha: Jionee sanamu za kuvutia duniani.

Mmmh ile ya kwetu ya askari mbona haipo?
 
Ile haifai
Hata ile ya Nyerere square pale Dodoma nayo ni hola, kwa sanamu tupo nyuma sana, pale Tabora sokoni kuna vizege fulani viwekwa vinaitwa mnara wa uamuzi wa busara duh.
 
Hata ile ya Nyerere square pale Dodoma nayo ni hola, kwa sanamu tupo nyuma sana, pale Tabora sokoni kuna vizege fulani viwekwa vinaitwa mnara wa uamuzi wa busara duh.
Eeh pale na papata napo pazuri sana pia
 
Thank you, kuna watu wabunifu duniani, lakini sisi bado tunakalia viti vya miaka mia 500 iliyopita.

Nimeipenda ya Marilyn Monroe na hilo jiwe, ngoja nikalitengeneze na mimi
 
Hizo sanamu zinanishangaza na kunistaajabisha kwa ubunifu na ufundi wa hali ya juu sana uliotumika. Sanamu zetu hazina ubunifu wala ufundi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…