PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Huo mwaka nilikuwa Vitani Congo napambana na M23
 
Nakumbuka User Name niliyoanzia ilikuwa "Bluekenge" na nilikaribishwa jukwaani na mzee wa kitimoto enzi hizo.... Miaka haigandi!!.
 
Back
Top Bottom