Ya dina marios
Kwani kunatofauti gani na kuweka maiti hadharani na kuifanya kioja !? Wenyewe wenyewe mnadai kutoa heshima ! Wale wanaokataa maiti kufanywa kioja ndio huonekana hawana maana. Mezeni tu hata kama ni chunguBora mseme nyie viazi nikionge mie muhongo ntaambiwa katikati nina mzizi.
Yaani ilinikera sana watu hawajui kabsa maana ya maiti and they dont think critically kweli haikuwa powa kupublicyz image ya maiti kiasi kile yaani inaniuma mpaka sasa though im not fan wa kanumba.
Sikupenda watz tuna ulimbukeni sana juu ya matumizi haya ya blogs and ol these uchafu wa mitandao ya kijamii. Hawajiulizi kwanini hospitali mgonkwa akikata roho huwa anafunikwa?why wao wamemuacha wazi kiasi kila anaejisikia anapiga picha au walidhani wapo location wana act? Mh tunaelekea wapi watz.....
ni wazi kwamba jeneza litakuwa limeshushwa kwa rollers na sio mannually kwa kamba na nguvu za watu.
So, picha ya pili.....hiyo ya dina kaitoka wapi yarabi toba!!
Yeye si ndio kinara wa kusema kwa nini watu wanatumia picha vibaya??....yeye hiyo kaitoa wapi na kuamua kwamba ni picha husika?
Ya dina marios![]()
Amuumbue mtu wakati ipo kwenye blog yake? Kajiumbua mwenyeweNina wasiwasi kuna mtu amepanga kumuumbua mtu kwa photoshop
Hovyo kabisa ingekua ndo dina kaipata hii mweee sijui kesho kwenye kipindi chake angesemaje maana mmbeya huyu dada
Mmmh hivi hii si atakufa kwa joto. Full tiles?