tz1
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 2,121
- 536
- Thread starter
- #41
Dina kastuka kaichomoa picha ya kaburi kwenye blog yake.hyo dina cjui katolea wapi hata hiyo picha coz tumeona vzur kabisa kuwa kaburi la kanumba lilikuwa na marumaru(tiles) sasa hii inanshangaza kwa kweli, kha, ndio wanahabar hao, shame on you mdada,