Picha: Inawahusu CCM tu

Picha: Inawahusu CCM tu

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
DSC05271.JPG
Zinapatika A-Town
 
wewe crashwise unawaonyesha vibaka crown ya pilisi?
unataka wavunjike miguu?
 
Ushindi unaanza kupatikana nje kabla ya mchezo kuanza,pandeni CDM ktk mioyo ya watu ,ili kiwe ndio aisha yao.
 
mbona arusha peke yake ndiko kuna mamburula wengi huko :focus:
 
mbona arusha peke yake ndiko kuna mamburula wengi huko :focus:
Ni mbulula na sio Mburula, Arusha big up sana, wameshaona mbali wamechoka kudanganyika, viva Chadema Viva, kwa nguvu ya wananchi tutaweza!!!!!
 
mbona arusha peke yake ndiko kuna mamburula wengi huko :focus:
Nini arusha we gamba hata mtwara kwenye misukule yenu imeamka na chadema ndio wimbo sasa,kawaulize jangili kinana na yule pine imekuwaje wamefurukuta....mnalo limewaganda magamba..
 
Sio Arusha tu mkuu Nyumbani tanga zipo kibao
1. Jana MKWEZI ( mtu anaepanda minazi kuangusha nazi) nilimuona nayo akiangushia nazi
2. Hivi natoka bandarini kununua kitoweyo KULI (mtu anebeba mizigo bandarini ) nilimuona nayo akijifutia jasho baada ya kibarua fulani kumalizika.
 
Ni mbulula na sio Mburula, Arusha big up sana, wameshaona mbali wamechoka kudanganyika, viva Chadema Viva, kwa nguvu ya wananchi tutaweza!!!!!

Sio Arusha tuu hata huku songea mambo ni mootoo@ mi ni diwani mtarajiwa wa chadema huku songea town watajibebaaaaaaaaa
 
Sio Arusha tu mkuu Nyumbani tanga zipo kibao
1. Jana MKWEZI ( mtu anaepanda minazi kuangusha nazi) nilimuona nayo akiangushia nazi
2. Hivi natoka bandarini kununua kitoweyo KULI (mtu anebeba mizigo bandarini ) nilimuona nayo akijifutia jasho baada ya kibarua fulani kumalizika.

Tanzania bila CCM inawezekanaaaaaa
 
jamani dar haziko hizo? mwenye info anipm mazee "serious issue"
 
Nini arusha we gamba hata mtwara kwenye misukule yenu imeamka na chadema ndio wimbo sasa,kawaulize jangili kinana na yule pine imekuwaje wamefurukuta....mnalo limewaganda magamba..

Kwanza lazima ujue kuheshimu watu, huwezi kuita watu wa mtwara misukule..misukule ni mtu kama wewe ambae fikra yako imepumbazwa na ulevi wa kuropoka!
Na aliekudanganya CHADEMA ndio wimbo wa mtwara nani??
Never ever underestimate mind capability ya watu wa kusini!
 
Nyang'au wewe tena wewe ndio msukule namba moja wa magamba,ntwara wameamka imekula kwenu kwenu sasa mnabaki kupiga watu wasiokuwa na hatia,ni kitambo kidogo tu huu uvumilivu utakwisha!!!
 
Ukweli kwa makumbano haya yanaashiria kuna "Gap some where inayotokana na ukanda zaidi ya utaifa, na inaonekana kukua kwa kasi ya ajabu! na katika kujiuliza maswali kama guiding questions zidi ya Gap ninayoiona, " je gap hii inatokana na mgawanyo mbaya wa raslimali? kukua kwa uelewa unaopelekea watu kujitambua kwamba wao siyo watanzania tu bali ni wachaga! au pia ni wamakonde!! ? maliziaaaaaaaaaaaaaa na ww
 
Pandikizeni change kwenye akili na mioyo ya watoto wenu wa kwangu under five wanajua kabisa ukisema CHADEMA jibu ni PEOPLE POWER
 
Huku ukivaa uvae na rain koti juu vinginevyo kucha macho halali yao
katika harakati za kuangushwa aliyekuwa rais wa Uganda Dikteta Iddi Amin Dada akina Obote walitengeneza T-Shirts zao zenye alama ya kiganja zikiandikwa U.P.C (Uganda Peoples Congress) mgongoni na picha ya Obote kifuani. Nasikia kuwa wale askari walipokuwa wakikupata walikuwa wanakuamrisha unasimama na wanalenga risasi kwenye picha ya T-Shirts!!!
Watu waliteseka sana na kuuawa japo wangine walichukulia tu kama nguo, ...all those are gone!!!
 
Back
Top Bottom