Picha iliyoniliza

Kaaah hiyo picha imeumiza sana moyo wangu leo, najuta kwa nini nimeingia kuingalia
 
sijui uhalisia wa hii picha lakini maudhui yake yanatia simanzi mno
Rest in piece little angel

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
😱 😕 😱 😕 😱 😕 Ooh My God! Hata sijui kwanini nimeufungua huu uzi. mshana jr, leo umeiharibu siku yangu...
 
😱 😕 😱 😕 😱 😕 Ooh My God! Hata sijui kwanini nimeufungua huu uzi. mshana jr, leo umeiharibu siku yangu...
Nimeumia kuliko wewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Dah! Nimepatwa na hasira za ghafla! Kuna watu wana roho mbaya sana hapa duniani. Kwanini kwenda kumnyonga malaika kama huyu jamani!

sijui uhalisia wa hii picha lakini maudhui yake yanatia simanzi mno
Rest in piece little angel

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Very sad... Kuna dada niko naye hapa ofisini nimemuonesha, hivi sasa nina kazi ya kumyamazisha. Watu wanadhani kapata msiba...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Asa malaika kama huyo kakosa nini maskini kudeserve hiyo punishment, mungu amemuona aliyeyatenda hayo na atamlipa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yani bora simba ana utu kwa watoto kuliko mibinadamu..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dah! Nimepatwa na hasira za ghafla! Kuna watu wana roho mbaya sana hapa duniani. Kwanini kwenda kumnyonga malaika kama huyu jamani!
Hii inafanya tujue ni namna gani kuna baadhi ya binadamu wana roho za kinyama. Na utakuta aliondoka huku nafsi yake haina hata hofu.

Daah. Inasikitisha kwa kweli.
 
Reactions: BAK
Mhuu jaman

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siku moja nilikuwa nasikiliza radio kukawa na discussion nzito kwamba watu waombe leseni za kupata watoto ili wachunguzwe kama wanastahili kuwa Baba na Mama, walisema hivi baada ya mama mmoja kumuacha mwanaye kwenye gari kwa dakika 28 ikabidi wavunje kioo cha gari ili wamnusuru mtoto. Polisi wakamwambia umefanya makosa ungeua mtoto akaja juu kinoma kuwabishia Polisi kwamba hajafanya kosa lolote na wala mtoto asingekufa kutokana na kukosa hewa na huku kukiwa na joto kali sana.

Angeweza kuomba samahani tu yangeisha ila kiburi chake wakamkamata na kafunguliwa mashtaka akikutana na hakimu mwenye roho mbaya anaweza kula mvua tano. Huyu mama ndiye walikuwa wakimjadili kwenye hiyo redio kwamba si kila mama/baba ana sifa za kuwa mzazi.

Hii inafanya tujue ni namna gani kuna binadamu wana roho za kinyama. Na utakuta aliondoka huku nafsi yake haina hata hofu.

Daah. Inasikitisha kwa kweli.
 
Kweli kabisa BAK kuna watu hawana sifa kabisa za kuwa wazazi.

Ila mungu anamuona aliyefanya huu unyama ambao huyu malaika hakuhustahili. Inaumiza roho sana. Daah
 
Reactions: BAK
Mkuu mshana hii ni wapi? Hao wapumbavu washapatikana waondolewe haraka au waishi wakiona kifo

Sent from potent potables
 
Mkuu mshana hii ni wapi? Hao wapumbavu washapatikana waondolewe haraka au waishi wakiona kifo

Sent from potent potables
Baada ya kuweka hii post walijitokeza wadau na kuweka history yote kwahiyo naamini mtuhumiwa yuko sehemu anayostahili

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…